Remy vs Nicki Minaj. Daaamn Ma!

Remy vs Nicki Minaj. Daaamn Ma!

Nick kamjibu remy ma na diss track inayoenda kwa jina la "no fraud" akiwashirikisha lil wayne pamoja na drake
Dan Cooper

Nimeona. The irony is, Nicki proved to be a major fraud, big time. Nicki na Meek Mill walifaa kuwa pamoja milele, ili wachangie hizo Ls zao.
 
Huu mjadala ni wa wabongo kweli...Ras Simba ananihusu
 
Back
Top Bottom