Remy vs Nicki Minaj. Daaamn Ma!

hayo mashairi ukiyafasiri kiswahili ni mfano wa watu wana CHAMBANA kwenye miduara au Taarab ya rusha roho

na cha kushangaza huku muziki wa kuchambana na kudissiana watu wanauchukia lakini hayo wanafurahia au kwa kuwa KINGEREZA?
 
On a second note, after listening to that track again, Nicki better sample the take over or hit em up beats and respond quickly, otherwise there's no coming back from this.
 
Truth be told, Remy Ma's Shether is a better diss record than Nas' Ether. Top notch reasoning right there. Nas' was/is overrated.
Mkuu kabisa yaani au kwakua Ether ni ya muda?
Umenifanya nikaifukue nithibitishe lakini akili haikubali.

All in all thanks Rem kwa kuirudisha hip-hop mahala pake.
 
Makes sense, so what'd you think Nicki gotta do to get some sort of revenge now that she's been destroyed by Remy? (i see twitter is going crazy over this). Is there any way back from this or should we just read her obituary?

Only thing she can do is continue making hits, and forget about getting at Remy. Remy bodied her so badly.

Even Hov lost his battle with Nas, but won the war by focusing on his music.
 
On a second note, after listening to that track again, Nicki better sample the take over or hit em up beats and respond quickly, otherwise there's no coming back from this.

Ain't no clapping back in this. Remy was so smart she used takeover, ether, back2back, hit 'em up, you name it. She used all diss techniques.
 
Baba paul inamshinda hii lugha,ije kua mimi!!!!? Nadumisha kiswahili
 
Mkuu kabisa yaani au kwakua Ether ni ya muda?
Umenifanya nikaifukue nithibitishe lakini akili haikubali.

All in all thanks Rem kwa kuirudisha hip-hop mahala pake.

Wala muda sio issue kubwa. Ether kwa kiasi kikubwa haileti maana. Nas alijikanyaga kanyaga sana. Ukiweka akili, hakuna cha maana anachosema.
 
Wala muda sio issue kubwa. Ether kwa kiasi kikubwa haileti maana. Nas alijikanyaga kanyaga sana. Ukiweka akili, hakuna cha maana anachosema.
Sawa.
Ngoja tusubiri kama Nicki ataweza jibu. Only 48hrs akishindwa bora aendelee ku-tweet. Ili beef iwe nzuri she must not use ghostwriter [emoji41]
 
Sawa.
Ngoja tusubiri kama Nicki ataweza jibu. Only 48hrs akishindwa bora aendelee ku-tweet. Ili beef iwe nzuri she must not use ghostwriter [emoji41]

speaking of Ghostwriters, -: "You're an internet troll, a web browser, I'm sorry, you can't get her online without Safaree". Nicki's ghost writer is Safaree.
 
Mhhh! naona nimevamia kwa Trump
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
speaking of Ghostwriters, -: "You're an internet troll, a web browser, I'm sorry, you can't get her online without Safaree". Nicki's ghost writer is Safaree.
Na ndiyo maana huyu jamaa hatakiwi kuingia kati sababu ni girls stuff kuna vitu Rem ka-spit vya hatari sana.
 
hayo mashairi ukiyafasiri kiswahili ni mfano wa watu wana CHAMBANA kwenye miduara au Taarab ya rusha roho

na cha kushangaza huku muziki wa kuchambana na kudissiana watu wanauchukia lakini hayo wanafurahia au kwa kuwa KINGEREZA?
[emoji23][emoji23]Mkuu ungejua nnavopenda Taarabu ungecheka [emoji23][emoji23][emoji23]
mamaa mashauzi "Sijisifu kwa uzuri nikaushikia bango, muda ukaniendeeeea, najisifu kwa shuguli tena natafuta Bingo malengo najiwekeeea" by mamaa mashauzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…