Renee Lamira yuko wapi?

....kwa hii sauti huwezi kutiwa studio,
...njoo tu nikutie kaunta!
 
Bado ana zile hips za kufa mtu kama za Giggy Money?
 
Niliwahi kumuona kwenye hafla fulani mtoto mzuri kweli halafu wakishua na alikuwa mambo ya MIS pale NBC . Zike ndio totoz za kuoa sasa. Cloudsfm haijawahi kumuacha demu salama enzi za kitega uchumi
 
kitambo sana. pia kuna binti anaitwa farida aliimba wimbo uitwao pesa miaka ile ya mwanzon mwa 2000 alikua mkali sana
 
kitambo sana. pia kuna binti anaitwa farida aliimba wimbo uitwao pesa miaka ile ya mwanzon mwa 2000 alikua mkali sana
Farida alizaa na mwana hip hop wa iringa jina nimelisahau aliimba wimbo wa nakupenda hip hop na waite polisi enzi za producer ambha
 
Renee anataka kuishi na mzungu ndoto yake bado ipo?..Fitina ilibamba Sana,watoto wa kihaya huwa na Misambwanda.
 
Mkuu hii ni moja ya ngoma za bongo ambayo naielewa sana, [HASHTAG]#fitina[/HASHTAG]
 
Naupenda sana ule wimbo wake wa Baridi kama hii..naukubali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…