Renovated Tanzania's narrow gauge will run at same speed as Kenya's SGR

Renovated Tanzania's narrow gauge will run at same speed as Kenya's SGR

Shekhe Amjia Juu Diamond Kwa Mavazi Ya Tanasha
February 01, 2019 at 06:47

Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, Amemjia juu mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kwa mavazi ya mpenzi wake Tanasha.
Gazeti la Risasi linaripoti kuwa Tanasha alizua gumzo wiki iliyopita Baada ya kuonekana akiwa amevaa gauni ambalo liliweka sehemu kubwa ya maungo yake nje jambo ambalo pia limeonekana kumkereketa Shehe mkuu.

"Jamani…jamani…ndiyo nguo gani ile mbele ya kiongozi wa dini? Kiukweli si sawa na ndiyo maana hata Shehe Alhad alikataa kumpa mkono Tanasha na kuishia kumpungia. “Kwani Tanasha hakujua au hakuambiwa anakwenda kwenye mkusanyiko wa watu wengi wa kada mbalimbali ili ajisitiri? Ona sasa anavyoaibika hata anashindwa kutazama watu kutokana na aibu.
Lakini yote kwa yote, wa kulaumiwa hapa ni Diamond kwani ndiye aliyetakiwa kumpanga mtu wake juu ya namna ya kuvaa kwenye shughuli kama hii. Kiukweli atakuwa amemtibua mno Shehe Alhad”.
alisema mmoja wa wahudhuriaji waliokuwa wamedamshi ile mbaya.
Kwenye mahojiano aliyofanya na Gazeti la
Risasi Mchanganyiko juu ya kitendo hicho na kwamba alikichukuliaje, Shehe Alhad alitema nyongo kwa kumvaa Mondi mzimamzima.

Diamond hakufanya kitu kizuri, lakini alitekeleza amri ya Mkuu wa Mkoa wa Dar (Paul Makonda) kujitokeza pale mbele na mwenzake (Tanasha).
Lakini hata mimi nilivyokwenda pale mbele sikupendezwa kumuona huyo mwanamke na ndiyo maana hata hukuniona nikimpa mkono wangu. “Ila niliheshimu kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar kwa kumpa mkono Diamond, lakini yeye (Tanasha) sikumpa mkono kwa kuwa nilimuona yupo vile.
Lakini pia Diamond naye anaonesha udhaifu kwa mwanamke kwa kumuacha namna ile kwa sababu mali zako lazima uzione wewe mwenyewe, mwanaume lazima uwe na wivu, haiwezekani unayetarajia kumuoa mwili wake unakuwa wazi ina maana hana thamani. “Diamond anatakiwa kumuongoza yule binti (Tanasha), hakutakiwa kumuacha vile.

Shekhe Amjia Juu Diamond Kwa Mavazi Ya Tanasha - Ghafla! Tanzania
 
Ile nyingine ilikaza vyuma sasa msharudia mliotupa? 😀😀😀
 
Hivi Magu huwa anafikiria nini? yani ni dose juu ya dose. Ila ile ya kaskazini ikianza kazi nitafurahi sana, wakwe zangu wanapata tabu sana wakienda kuhesabiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Speed ya 4G😅😅😅👇👇👇
IMG_20190202_211847.jpg
IMG_20190202_211829.jpg
IMG_20190202_211820.jpg
IMG_20190202_211746.jpg
IMG_20190202_211736.jpg
IMG_20190202_211829.jpg
IMG_20190202_211847.jpg
IMG_20190202_211829.jpg
IMG_20190202_211820.jpg
IMG_20190202_211746.jpg
IMG_20190202_211736.jpg
 
Kazi inakwenda kwa speed ya 4G 😅😅😅🤣🤣🤣🤣👇👇👇 View attachment 1011768

Upuzi mtupu, bure kabisa kabisa. Ile 22% mliimba hapa na bado naona Picha zipo Dar bila hata reli yenyewe kwani kunaenda aje? Je vyuma vimekaza namna hiyo hadi mnakuwa this desperate? Mbona mkasahau kuweka Picha za SGR Kenya na kusema ni zenu??
Kazi inakwenda kwa speed ya 4G 😅😅😅🤣🤣🤣🤣👇👇👇 View attachment 1011768

V
Kama kawaida wamenyukwa 5 mtungi. Al ahly wako zoezi pale. Tanzania kwa michezo, uchumi, afya na elimu ni bure kabisa.
yuma vimekaza kubalini tu tutaelewa.
 
Upuzi mtupu, bure kabisa kabisa. Ile 22% mliimba hapa na bado naona Picha zipo Dar bila hata reli yenyewe kwani kunaenda aje? Je vyuma vimekaza namna hiyo hadi mnakuwa this desperate? Mbona mkasahau kuweka Picha za SGR Kenya na kusema ni zenu??

V

Kama kawaida wamenyukwa 5 mtungi. Al ahly wako zoezi pale. Tanzania kwa michezo, uchumi, afya na elimu ni bure kabisa.
yuma vimekaza kubalini tu tutaelewa.
Povu hili lakufungua mwaka😅😅😅
 
for someone obssessed with comparisons when did Kenya SGR operate at 70KPH?
 
Back
Top Bottom