Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Magu huwa anafikiria nini? yani ni dose juu ya dose. Ila ile ya kaskazini ikianza kazi nitafurahi sana, wakwe zangu wanapata tabu sana wakienda kuhesabiwa.
Speed ya 4G😅😅😅👇👇👇Hivi Magu huwa anafikiria nini? yani ni dose juu ya dose. Ila ile ya kaskazini ikianza kazi nitafurahi sana, wakwe zangu wanapata tabu sana wakienda kuhesabiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi inakwenda kwa speed ya 4G 😅😅😅🤣🤣🤣🤣👇👇👇Ile nyingine ilikaza vyuma sasa msharudia mliotupa? 😀😀😀
Hapa kazi tu kazi kazi mambo ya hapa "michezo tu "tume waachia nyangau na majuzi kombe lao la sportpesa tumewapatia waendenalo
Kama kawaida wamenyukwa 5 mtungi. Al ahly wako zoezi pale. Tanzania kwa michezo, uchumi, afya na elimu ni bure kabisa.
Povu hili lakufungua mwaka😅😅😅Upuzi mtupu, bure kabisa kabisa. Ile 22% mliimba hapa na bado naona Picha zipo Dar bila hata reli yenyewe kwani kunaenda aje? Je vyuma vimekaza namna hiyo hadi mnakuwa this desperate? Mbona mkasahau kuweka Picha za SGR Kenya na kusema ni zenu??
V
Kama kawaida wamenyukwa 5 mtungi. Al ahly wako zoezi pale. Tanzania kwa michezo, uchumi, afya na elimu ni bure kabisa.
yuma vimekaza kubalini tu tutaelewa.
for someone obssessed with comparisons when did Kenya SGR operate at 70KPH?