ambroce cypher
Member
- Mar 1, 2013
- 7
- 0
DU kwa hilo kweli hakuna kituWw kma umefeli kajiandkishe mapema hkuna cha kurudiwa paper or kusahhshwa upya nayo sahau coz washtoa mpka (results slip)
Serikali haina mpango wowote na waliofeli kwani serikali ndo ilifanya mitihani? Vipi waliofeli 2011,2010 n.k. Kajiaandikishe uamue kusoma utafaulu achana na serikali wewe.Hivi serikali ina mpango ya wanafunzi kurudia mitihani yao ya kidato cha nne kwa wale waliopata daraja la 4 na sifuri