Repeat Exams

Repeat Exams

Joined
Mar 1, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Hivi serikali ina mpango ya wanafunzi kurudia mitihani yao ya kidato cha nne kwa wale waliopata daraja la 4 na sifuri
 
Kwan serikali imeeafelisha au ......serikali ndo Baba yao ......au ....serikali ina agenda binafsi na waliofeli? Mi ninachojua serikali na wafadhili hujitua mzigo wa kusomesha pale mwanafunzi anapofeli mtihani na hapo haki ya kuitwa mwanafunzi inapotea hadi utakapoamua kujiunga tena na mfumo
 
Hujawahi kituo cha kuandikisha private candidate mkuu!! Mwisho wa kulipia NECTA bila fine ni March 31st!!
 
Ww kma umefeli kajiandkishe mapema hkuna cha kurudiwa paper or kusahhshwa upya nayo sahau coz washtoa mpka results slip
 
Hivi serikali ina mpango ya wanafunzi kurudia mitihani yao ya kidato cha nne kwa wale waliopata daraja la 4 na sifuri
Serikali haina mpango wowote na waliofeli kwani serikali ndo ilifanya mitihani? Vipi waliofeli 2011,2010 n.k. Kajiaandikishe uamue kusoma utafaulu achana na serikali wewe.
 
Back
Top Bottom