Report: Bin Laden Already Dead

This news is too old to be discussed to day........! these were just propaganda by then!

AljuniorTz said:
Nami ndio nashangaa hii nyuzi mbon ime-expire siku nyingi???

Eqlypz said:
Sasa na wewe umefanya nini?

X-Paster, na wewe ndio nini kutuletea habari ya 2001?

Kwani vingapi vya zamani na mnaendelea kuvikumbuka, tena vingine mnavihazimisha kwa matamasha, nderemo na vifijo!?

Old is Gold!
 
Ungeisikitikia nafsi yako kwanza, na kuondoa tongo tongo kwenye ubongo wako ulio jaa chuki, kisha point to other people.
 
Shekhe Dar Es Salaam, watakuwa wakiuwawa mmoja baada ya mwingine labda waache ugaidi!
Haya maoni yako yangeonekana ya maana sana ukiwanyooshea vidole wamarekani na jamaa zake wanavyo huwa watoto, wanawake, wazee, vilema, kuku, bata hata njiwa wasio na hatia kwenye nchi za watu kwanza...!
 
hao jamaa ukitaka kuwateka akili semea dini yao.......mfano ukimtaka dadake GT wewe anza kuweka mistari ya kiarabu kwenye jukwaa la deen na vaa kanzu kubwaaaa..aaah unapewa kilainii......
Nawe huna kingine unacho kifikiria zaidi ya zina!
 
Ungeisikitikia nafsi yako kwanza, na kuondoa tongo tongo kwenye ubongo wako ulio jaa chuki, kisha point to other people.

Ubongo wa Osama ndio umejaa upendo kwa kumlipua mama anayeuza nyanya sokoni, hamjui George Bush wala Ariel Sharon? Maisha yake ya hofu na kujificha mpaka mauti kisha jehanamu! Tabu yote hii ya nini?
 
Ubongo wa Osama ndio umejaa upendo kwa kumlipua mama anayeuza nyanya sokoni, hamjui George Bush wala Ariel Sharon? Maisha yake ya hofu na kujificha mpaka mauti kisha jehanamu! Tabu yote hii ya nini?

Umeshuhudia akimripua huyo mama muhuza nyanya... au fikra zako zimegota kufikiri?
 
Kwani vingapi vya zamani na mnaendelea kuvikumbuka, tena vingine mnavihazimisha kwa matamasha, nderemo na vifijo!?

Old is Gold!

Mufilisi, wewe nini kimekutuma utuletee habari ya zamani, au Jihad Inc inafanya recruitment?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…