Report: Bin Laden Already Dead

Report: Bin Laden Already Dead

This news is too old to be discussed to day........! these were just propaganda by then!

AljuniorTz said:
Nami ndio nashangaa hii nyuzi mbon ime-expire siku nyingi???

Maane said:
Yaani kweli kitu ya almost 8 years mnasema ni mpya jamani. Kabla member hujaanza kuchangia check kwanza date ya event kama ya Obama ambaye hata hasimu wake Marekani na Uingereza hawana hakika kama yu hai au alishakufa!!!! Ila Osama Bin Laden ni kiboko!!!! Kama yuko hai na hajaweza kukamatwa hadi leo leaving apart donge nono lililotolewa na marekani basi huyu ndiye naughty boy wao!!!

Eqlypz said:
Sasa na wewe umefanya nini?

X-Paster, na wewe ndio nini kutuletea habari ya 2001?

Kwani vingapi vya zamani na mnaendelea kuvikumbuka, tena vingine mnavihazimisha kwa matamasha, nderemo na vifijo!?

Old is Gold!
 
Huyu gaidi amekwepa sana kujilipua, ameangamiza roho nyingi za raia wasio na hatia zikiwemo za wakenya na watanzania na wajahidina wenzake aliowashawishi kujilipua na kuwalipua watu wasio na hatia misikitini, sokoni, kwenye mabasi, balozi mbalimbali, kwa jina la huyo mungu wao Allah! Anasubiri malipo ya uovu wake huo pamoja na muuaji mwenzake Marehemu Muhammad aliyemfundisha kuua watu wasio na hatia. Alifikiri yeye angeishi milele?
Ungeisikitikia nafsi yako kwanza, na kuondoa tongo tongo kwenye ubongo wako ulio jaa chuki, kisha point to other people.
 
Shekhe Dar Es Salaam, watakuwa wakiuwawa mmoja baada ya mwingine labda waache ugaidi!
Haya maoni yako yangeonekana ya maana sana ukiwanyooshea vidole wamarekani na jamaa zake wanavyo huwa watoto, wanawake, wazee, vilema, kuku, bata hata njiwa wasio na hatia kwenye nchi za watu kwanza...!
 
hao jamaa ukitaka kuwateka akili semea dini yao.......mfano ukimtaka dadake GT wewe anza kuweka mistari ya kiarabu kwenye jukwaa la deen na vaa kanzu kubwaaaa..aaah unapewa kilainii......
Nawe huna kingine unacho kifikiria zaidi ya zina!
 
Ungeisikitikia nafsi yako kwanza, na kuondoa tongo tongo kwenye ubongo wako ulio jaa chuki, kisha point to other people.

Ubongo wa Osama ndio umejaa upendo kwa kumlipua mama anayeuza nyanya sokoni, hamjui George Bush wala Ariel Sharon? Maisha yake ya hofu na kujificha mpaka mauti kisha jehanamu! Tabu yote hii ya nini?
 
Ubongo wa Osama ndio umejaa upendo kwa kumlipua mama anayeuza nyanya sokoni, hamjui George Bush wala Ariel Sharon? Maisha yake ya hofu na kujificha mpaka mauti kisha jehanamu! Tabu yote hii ya nini?

Umeshuhudia akimripua huyo mama muhuza nyanya... au fikra zako zimegota kufikiri?
 
Kwani vingapi vya zamani na mnaendelea kuvikumbuka, tena vingine mnavihazimisha kwa matamasha, nderemo na vifijo!?

Old is Gold!

Mufilisi, wewe nini kimekutuma utuletee habari ya zamani, au Jihad Inc inafanya recruitment?
 
Back
Top Bottom