Report card on EA pupils out: Kenya leads Uganda and TZ

Wanafunzi wa ki-Tanzania wanaokwenda kusoma kwenye vyuo vikuu vya Kenya ana Uganda ni wale waliokosa "minimum pass marks" kujiunga na vyuo vikuu vya Tanzania
 
I beg to differ kaka.
Na sitoi porojo zaidi...nakupa tu yangu..

Nilimaliza form 6 Majengo sec-Moshi, PCM. Nikapiga one ya tisa...flat C.
Nikaomba Computer science Mlimani na wakati huohuo nikawa nimeambiwa na my aunt kuna chuo chuo kizuri sana Kenya kinaitwa Africa Nazarene Univeristy..nikaaply pia, ile basi tu kizushi!

Matokeo ya UD yakatoka nikawa nimepangiwa, Electronic Science and Communication.
Kwa wakati huo hata sikujua hicho ni nini, na mimi nliomba computer science.

Nikajaribu kupeleka ombi la kubadilishwa kozi wakaniambia haiwezekani kwani wakati huo wamechukua wanafunzi wengi zaidi wa computer science.

Huku Kenya nikawa nimechaguliwa kujiunga na chuo hicho kuchukua Computer science.
Nikaona why bother? Mwezi wa tisa huyooo nikaenda zangu...

Sasa nimemaliza...
sitaki kujisifu ila mpaka sasa nimeshatengeneza software moja inayofanya kazi ya mambo ya insurance...
Sasa hivi namalizia nyingine hapa by August itaanza kazi..

Hebu nambie kaka, ni minimum requirements zipi unaziongelea?
 
Ukweli ni kwamba huko kuna vyuo vinavyochukua hata wale waliokosa nafasi za kusoma hapa Bongo esp Uganda!
 
Mimi sitaingia kwenye kwenye kutupiana matusi na wakenya ambao kwa kuangalia lugha yao naamini kuwa si watu wa kupoteza muda kujadiliana nao. Back to the point. Mimi kwa kiasi fulani nakubaliana na huu utafiti kuwa hali ya elimu yetu Tanzania kwa kiasi kukibwa imetetereka hasa baada ya wanasiasa kuingilia sekta ya elimu na kufanya maamuzi yanayoathiri ufundishaji bila kushirikisha wataalamu. Yafuatayo kwa mtazamo wangu yanachangia kwa kiasi kikubwa kuwa na hali mbaya ya ufundishaji mashuleni.

Walimu wana madai yao ambayo yamekuwa wakipigwa danadana na matokeo yake inaathiri ufundishaji wao madarasani? Kuna walimu wengi wapya ambao mishahara yao inachukua muda mrefu sana kuingia kwenye account. Nilikutana na mzazi ambaye mtoto wake wa kike alipangiwa kazi ya ualimu kijijini na ilibidi awe anamtumia pesa ya chakula na matumizi mengine kwa kuwa hakuwa ameanza kulipwa mshahara. Sababu kubwa ya kutolipwa mshahara aliambiwa kuwa jina la mtoto wake halijaingia kwenye kompyuta. Utadhani komyuta zinajiendesha zenyewe.

Walimu wengi wanakimbia kazi ya ualimu vijijini kwa sababu mazingira ya kufanyia kazi hasa maeneo ya vijijini ni magumu sana. Kuna shule nyingi za kata zimejengwa vijijini ambazo hazina walimu, vitabu na madawati na tunatarajia miujiza ya kupatikana elimu katika mazingira kama hayo. Taaluma ya ualimu nchi hii imejaa watu ambao alama zao za form four ni za chini kiasi kuwa haziwaruhusu kuendelea na masomo ya juu (A level and chuo kikuu). Kuna shule nchi hii ambazo hata mashimo ya vyoo ni tatizo na yanaathiri ufundishaji.

Hoja ninayojaribu kujenga hapa ni kuwa kuna mambo ya msingi ambayo kama taifa inabidi kuyafanya sasa ili kubadilisha hali halisi na mustakabali wa utoaji wa elimu kwa watoto wetu. Tusipofanya maamuzi lmagumu eo tutaathiri taifa kwa miaka mingi ijayo na hili litaathiri siyo sekta ya elimu pekee bali sekta nyingine nyingi za kuichumi na kijamii.

By Tata - Mughaka We Ichinsiku Ichincharu.
 
Boss tukubaliane kitu moja, education system yenyu iko chini tu sana, hiyo ni FACT na nyinyi wote mnajua na ndio maana wale wabongo kidogo wanajiweza wanawaleta watoto wao Kenya na UG wapate angalau masomo ya kweli, nanyi mkija huku mnajulikana ya kuwa nyie ni mambumbumbu na wengi wenyu wanavuta mkia darasani.

Si jaribu ku prove anything lakini msipobadilisha mwenendo wenyu na mjue kuaccept critisism, basi mnapoelekea ni pabaya sana, na hakikisheni watoto wenyu wamesoma coz this EAC thing is a monster which will kill a generation of illiterate and lazy Tanzanians.

Waganda nawakubali, sio Wakenya: Jibu hoja yangu kwa nini Wakenya wamejazana katika shule za sekondari za Uganda?

Kwa mtazamo wangu ranking ya ubora wa elimu EA ni: 1. Uganda 2. Tanzania 3. Rwanda 4. Kenya 5. Burundi.
 
Nina hakika kuwa kesha na ug wanaenda watz vlaza ingawa vchwa wapo lakn wa kuhesabu,miaka ya tisini had leo wazaz walipeleka watoto ug kwa kutojua wakdhan wataenda kuwa better in english,lakn kikubwa weng n mbumbumbu na 2nawajua hata mtaan wanajulkana kwamb walienda ug coz pass mark haziruhus,
 
Mimi sitaingia kwenye kwenye kutupiana matusi na wakenya ambao kwa kuangalia lugha yao naamini kuwa si watu wa kupoteza muda kujadiliana nao. Back to the point. Mimi kwa kiasi fulani nakubaliana na huu utafiti kuwa hali ya elimu yetu Tanzania kwa kiasi kukibwa imetetereka hasa baada ya wanasiasa kuingilia sekta ya elimu na kufanya maamuzi yanayoathiri ufundishaji bila kushirikisha wataalamu. Yafuatayo kwa mtazamo wangu yanachangia kwa kiasi kikubwa kuwa na hali mbaya ya ufundishaji mashuleni.

Walimu wana madai yao ambayo yamekuwa wakipigwa danadana na matokeo yake inaathiri ufundishaji wao madarasani? Kuna walimu wengi wapya ambao mishahara yao inachukua muda mrefu sana kuingia kwenye account. Nilikutana na mzazi ambaye mtoto wake wa kike alipangiwa kazi ya ualimu kijijini na ilibidi awe anamtumia pesa ya chakula na matumizi mengine kwa kuwa hakuwa ameanza kulipwa mshahara. Sababu kubwa ya kutolipwa mshahara aliambiwa kuwa jina la mtoto wake halijaingia kwenye kompyuta. Utadhani komyuta zinajiendesha zenyewe.

Walimu wengi wanakimbia kazi ya ualimu vijijini kwa sababu mazingira ya kufanyia kazi hasa maeneo ya vijijini ni magumu sana. Kuna shule nyingi za kata zimejengwa vijijini ambazo hazina walimu, vitabu na madawati na tunatarajia miujiza ya kupatikana elimu katika mazingira kama hayo. Taaluma ya ualimu nchi hii imejaa watu ambao alama zao za form four ni za chini kiasi kuwa haziwaruhusu kuendelea na masomo ya juu (A level and chuo kikuu). Kuna shule nchi hii ambazo hata mashimo ya vyoo ni tatizo na yanaathiri ufundishaji.

Hoja ninayojaribu kujenga hapa ni kuwa kuna mambo ya msingi ambayo kama taifa inabidi kuyafanya sasa ili kubadilisha hali halisi na mustakabali wa utoaji wa elimu kwa watoto wetu. Tusipofanya maamuzi lmagumu eo tutaathiri taifa kwa miaka mingi ijayo na hili litaathiri siyo sekta ya elimu pekee bali sekta nyingine nyingi za kuichumi na kijamii.

By Tata - Mughaka We Ichinsiku Ichincharu.
ina maana huko Kenya hamna matatizo ya walimu na wanasiasa kama Prof. Ongeri? acha kasumba wewe!
 
Tell Nation media to stop propaganda against TZ! TZ is about to take off and there is no way Kenya as a nation can advance through smear campaigns towards another nation! You fool .....!

Btw Uganda has taken off already and we are starting to see oil money being splashed into Tanzania's economy...read here idiot (Tanzania, Uganda ink$3b railway deal), the next thing we are waiting in patience without lobbying is a pipiline project since the Tamoil project is long gone (has long been flushed away mind you, Gaddafi is counting down now somewhere in a bunker in unknown location).

You piga kelele tu with your media boasting while fighting for small things like EA central Bank or International companies regional headquarters! Switzerland is the headquarter of most of institutions and companies in the EU but it is not economical mighty as Germany! bastard again!! arghhhh!

This is painfully true and tantamount essential to these arrogant and ungrateful Kenyans.
 
Boss tukubaliane kitu moja, education system yenyu iko chini tu sana, hiyo ni FACT na nyinyi wote mnajua na ndio maana wale wabongo kidogo wanajiweza wanawaleta watoto wao Kenya na UG wapate angalau masomo ya kweli, nanyi mkija huku mnajulikana ya kuwa nyie ni mambumbumbu na wengi wenyu wanavuta mkia darasani.

Si jaribu ku prove anything lakini msipobadilisha mwenendo wenyu na mjue kuaccept critisism, basi mnapoelekea ni pabaya sana, na hakikisheni watoto wenyu wamesoma coz this EAC thing is a monster which will kill a generation of illiterate and lazy Tanzanians.

You are a fool above all fools and a very backward person. First just check you so called Kenyan Kiswahili...it shows first hand you are an idiot. Even English spelling is a trouble, then you think you are better off. Because you insult, you deserve to be insulted all the more. There are many Kenyans who are illieterate in many ways. You call East Africa "A monster?" It will not kill us; remember, we maintain our national autonomy; plus we are many, you can keep your monster beyong your borders. And next time, think before you insult a nation. Mshenzi wewe
 
Waganda nawakubali, sio Wakenya: Jibu hoja yangu kwa nini Wakenya wamejazana katika shule za sekondari za Uganda?

Kwa mtazamo wangu ranking ya ubora wa elimu EA ni: 1. Uganda 2. Tanzania 3. Rwanda 4. Kenya 5. Burundi.

I beg to differ...na epuka ushabiki na petty hatred...
Kenya's education quality iko juu..think again na utalitambua hilo!!!
 
This painfully true and tantamount essential to these arrogant and unthankful Kenyans.

Ni99a why should I thank Tanzania? me being arrogant is out of the question what really matters and ticks y'all fruits off is the fact that a class 2 Kenyan student can sit for a standard seven Tanzanian exam and beat your students with his eyes closed. i know you are just talking like you all went to Tanzanian schools but the truth of the matter is that education wise, Tanzania SUCKS balls, and most of you fruits studied either abroad in Kenya or UG.

just to clear the air, most of the Kenyan students in UG dint get the points to get into a Uni in Kenya so they had to get their A levels so that they can get addmition to a University either in Kenya or UG.
 
....kwenye vipofu...mwenye chongo ndie mfalme......
 
Boss tukubaliane kitu moja, education system yenyu iko chini tu sana, hiyo ni FACT na nyinyi wote mnajua na ndio maana wale wabongo kidogo wanajiweza wanawaleta watoto wao Kenya na UG wapate angalau masomo ya kweli, nanyi mkija huku mnajulikana ya kuwa nyie ni mambumbumbu na wengi wenyu wanavuta mkia darasani.

Si jaribu ku prove anything lakini msipobadilisha mwenendo wenyu na mjue kuaccept critisism, basi mnapoelekea ni pabaya sana, na hakikisheni watoto wenyu wamesoma coz this EAC thing is a monster which will kill a generation of illiterate and lazy Tanzanians.

Hapo umekosea kaka...
Go to Africa Nazarene Univeristy and ask about the Tanzanians who have been and are there.
Go to strathmore (i know three) as the same thing
Don't go to USIU because even the Kenyans who are there..well..i won't comment!
Thanks...see you when you come back!
At first you had good arguments especially i the jukwaa la elimu but now i guess u getting personal!!!!!...i beg to differ!
 
You are a fool above all fools and a very backward person. First just check you so called Kenyan Kiswahili...it shows first hand you are an idiot. Even English spelling is a trouble, then you think you are better off. Because you insult, you deserve to be insulted all the more. There are many Kenyans who are illieterate in many ways. You call East Africa "A monster?" It will not kill us; remember, we maintain our national autonomy; plus we are many, you can keep your monster beyong your borders. And next time, think before you insult a nation. Mshenzi wewe

Ignoring the trolls.
 
Ni99a why should I thank Tanzania? me being arrogant is out of the question what really matters and ticks y'all fruits off is the fact that a class 2 Kenyan student can sit for a standard seven Tanzanian exam and beat your students with his eyes closed. i know you are just talking like you all went to Tanzanian schools but the truth of the matter is that education wise, Tanzania SUCKS balls, and most of you fruits studied either abroad in Kenya or UG.

just to clear the air, most of the Kenyan students in UG dint get the points to get into a Uni in Kenya so they had to get their A levels so that they can get addmition to a University either in Kenya or UG.

Again, I think this is just you replying in anger...
My aunt's friend (a Kenyan), had her daughter come and do an exam here in TZ so she would join high school, she had cleared her standard 8.
She wanted to join St. Mary Goreti Sec in Moshi...and she flunked!!!
By the way, you don't have to retaliate...silence is also an answer to a foolish comment!
 
Nakuheshimu sana mkuu. ama keep ma cool
 
hahahahaha you suckers!!!!!

fact is Tanzanian schools suck. i went to a private primary school and we had 13 students from Tanzania, and most of these students were "slow" in math to put it nicely. they also struggled with English but that's understandable.

i do not understand why Tanzanians cannot accept criticism??? this article basically says that ALL east African countries have education systems that are failing to produce well educated students. when i read the original article, the first thing that jumped to my head is why the f*ck are the Kenyan performing so badly?? i think Tanzanians need to lighten up. mention Kenya and TZ together and you Tanzanians just go berzerk.
 
Watanzania maneno meeeeeeeeeeeeeeeengi. Utafiti huu umejaa kila aina ya ukweli. Unataka ku-proof? soma threads za jamii forums, ambazo nyingi zinaandikwa na wasomi tena walioko chuo kikuu.
 
hahahahaha you suckers!!!!!

fact is Tanzanian schools suck. i went to a private primary school and we had 13 students from Tanzania, and most of these students were "slow" in math to put it nicely. they also struggled with English but that's understandable.

i do not understand why Tanzanians cannot accept criticism??? this article basically says that ALL east African countries have education systems that are failing to produce well educated students. when i read the original article, the first thing that jumped to my head is why the f*ck are the Kenyan performing so badly?? i think Tanzanians need to lighten up. mention Kenya and TZ together and you Tanzanians just go berzerk.
nomasana!
Apart from your nasty language, i support your comments.
 
Back
Top Bottom