Report: Kenya inaongoza E Africa kwa kuchukiwa na wananchi wake

finally, a person with brains...good point
 
wakenya waliomo nje ya nchi utawaona wakifanya maandamano london, New York na kadhalika kuitetea nchi yao...mfano Miguna alipofurushwa, kulikuwa na maandamano london, na Canada pia...Pili, wakenya waliomo diaspora huwa wanatuma hela nyingi sana nyumbani kwa kutumia MPESA...billions of dollars actually...wana maintain uhusiano wa karibu sana na nchi ya Kenya...finally, katika michezo, utawaona wakenya wengi sana katika tournament za mpira, rugby, au athletics iwe ni China, london ama Dubai...utawaona wakiwa na bendera zao kule
 
Wakenya wanachukia sana nchi yao.
nop watanzania ndio wanachukia nchi yako ukataka kujua tembelea watanzania waishio south Africa ,Brazil Chile Colombia na Argentina ndio utajua kwanin watanzania wanaikimbia nchi yao pasipo kuwa vita@ hongoreni kenya kwa kuwa wazalendoe na na nchi yao@ Bongo is a completely a Daimler state
 
Kha!! angalia statistic ndugu. Watanzania wachache sana wanapenda kwenda kukaa nchi tofauti na Tanzania.
Wengi huenda na kurudi kwao hahahaha!!!
Wakenya wengi wamepotelea kwenye nchi za watu.
 
Huu ni uwongo ulio pindukia, watanzania wanao ishi nje ya Tanzanian "documented or undocumented" hata 1 million hawavuku. Unatudhirishia elimu ni kitu mihimu sana.
 
We are proud to export our skills throughout the world.
Alafu, getting a Visa to the most attractive countries like US, UK etc, might require an English test.
That might explain the low numbers of Tanzanians overseas.

And why we need to be there while at home there is enough space for every citizen.
 
China, India population (2.5b) Hawaongei kingereza.
Halafu ulivyomshamba unadhani emigrants ni kama tourists hahahahaha
Emigrant ni mtu anahama mazima toka nchi yake.
 
Shithole country, ardhi yote inamilikiwa na malkia Elizabeth na vibaraka wake
 
sio kweli mkuu@ nimeishi nchi abroad @ mfano tu hapa cordoba city Argentina. tupo watz kama 3000 most of them are undocumented migrants # ukienda south Africa na Botswana. watanzania zaidi ya laki nne. kuna watz wengi mno# kwa ujumla watanzania sio wazalendo hatupend McGowan yote bcoz of dirt politics, poverty unlike Kenyan for sure blv me Schaeffer ushabiki sema ukweli
 
Huu ni uwongo ulio pindukia, watanzania wanao ishi nje ya Tanzanian "documented or undocumented" hata 1 million hawavuku. Unatudhirishia elimu ni kitu mihimu sana.[/QUOTE Nenda South Africa , Brazil Mozambique zambia na Colombia to mention a few
 
China, India population (2.5b) Hawaongei kingereza.
Halafu ulivyomshamba unadhani emigrants ni kama tourists hahahahaha
Emigrant ni mtu anahama mazima toka nchi yake.

India is the world second largest English speaking country, second only to the US.
Also China has a significant number of English speakers. And I said 'might require and English test'. Not all the time.

Mfano, anyone seeking to enroll in a US university must take the TOEFL exam. Test of English as a Foreign Language.
 
ukabila ndio ulipowafkisha hapo ikiwa wao kwa wao wanachukiana nafkiri data ziko sawasawa kabisa
 
And why we need to be there while at home there is enough space for every citizen.

Because 'space' is all you need for a comfortable life?
Tanzania has one of the largest 'space' in Africa but still one of the poorest.
 
Hakuna proof ya hayo unayoyasema. Hayo ni maneno yako tu yenye nia mbaya na nchi yetu. Most of people kama wewe huwa ni wakenya. Hakuna mtanzania anaweza kwenda kuteseka nchi ya ugenini na kuacha nchi nzuri yenye kila kitu.
Ardhi ipo, Madini yapo, Uvuvi upo nk. Hao watakuwa ni wakenya wanajifanya watanzania au wewe ni mkenya unataka kuchafua nchi yetu tukufu.
 
Reactions: Oii
Because 'space' is all you need for a comfortable life?
Tanzania has one of the largest 'space' in Africa but still one of the poorest.
Poorer than this, Hahahahaha
 
Reactions: Oii
Because 'space' is all you need for a comfortable life?
Tanzania has one of the largest 'space' in Africa but still one of the poorest.

You have poor understanding the word POOR, with million of people eating there daily meal intake, have access to water, and have somewhere to call home, that person isn't categorize as poor. Millions and millions of Tanzania are doing that every single day and they live up to age of 70 years give or take.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…