wakenya waliomo nje ya nchi utawaona wakifanya maandamano london, New York na kadhalika kuitetea nchi yao...mfano Miguna alipofurushwa, kulikuwa na maandamano london, na Canada pia...Pili, wakenya waliomo diaspora huwa wanatuma hela nyingi sana nyumbani kwa kutumia MPESA...billions of dollars actually...wana maintain uhusiano wa karibu sana na nchi ya Kenya...finally, katika michezo, utawaona wakenya wengi sana katika tournament za mpira, rugby, au athletics iwe ni China, london ama Dubai...utawaona wakiwa na bendera zao kule