Report: Kenya inaongoza E Africa kwa kuchukiwa na wananchi wake

Report: Kenya inaongoza E Africa kwa kuchukiwa na wananchi wake

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Kenya is ranked the 4th country with 54% of its people willing to move from their country if they had the money and opportunity.

54% ya wakenya wapo tayari kuondoka Kenya na kuhamia nchi nyingine kama wangekua na pesa au fursa ya kufanya hivyo,

simply ni kwamba zaidi ya nusu ya wakenya hawapendi kuishi Kenya au wanaishi basi tu hawana namna nyingine.

IMG_20180515_104037_354.jpg
 
Hapo mbona hujaweka takwimu za nchi nyingine za EA halafu unasema Kenya ndio inaongoza EA?

Halafu wakenya waliopo nje ya nchi zao huwa wanaonyesha nationalism kwa Kenya na wanashiriki sana mambo mengi kuhusu Kenya kuliko hata UG au Tz sijajua labda ni kwa sababu Rais wa TZ hatoki nje ya nchi, au ni sababu TZ hakuna uraia pacha wala wananchi hawapigi kura na hawaruhusiwi kununua ardhi?

Ila naelewa, ukiwa CCM moja ya kazi yako ni kutafuta kwa tochi matatizo ya nchi jirani ili kuwaaminisha Watanzania kuwa nchi yao ni bora na waendelee kuwa vipofu na kuwashangilia
 
Hapo mbona hujaweka nchi nyingine za EA halafu unasema Kenya ndio inaongoza mzee

Halafu wakenya waliopo nje ya nchi zao huwa wanaonyesha nationalism kwa Kenya na wanashiriki sana mambo mengi kuhusu Kenya kuliko hata UG au Tz au labda ni kwa sababu Rais hatoki nje ya nchi, hakuna uraia pacha wala wananchi hawapigi kura na hawaruhusiwi kununua ardhi?

Ila naelewa, ukiwa CCM moja ya kazi yako ni kutafuta kwa tochi matatizo ya nchi jirani ili kuwaaminisha Watanzania kuwa nchi yao ni bora na waendelee kuwa vipofu na kuwashangilia
Do you even know diaspora aren't engaged in this report? Na utawaongeleaje watu walioihama nchi yao already kama wanataka kuihama tena?
 
Isn't it common knowledge that LDCs like Tanzania are not usually included in many studies?
Kwa map mingi, Tanzania is usually represented with a grey colour, meaning 'No Data'.
Including a country like Tanzania in some research will skew the normal curve.
 
Do you even know diaspora aren't engaged in this report? Na utawaongeleaje watu walioihama nchi yao already kama wanataka kuihama tena?

But those moving today or tomorrow will be the future's diaspora! Seems you'll never understand Kenyans! Their quest to move is out to better themselves and their country Kenya in the long run and not to hibernate forever!
 
Am Tanzanian DON't agree with this report. @ kwanza watanzania ndio wengi hatu pendi Kuishi home@,Tanzania ndio ina diaspora wengi kuliko nchi zote EAC but most of them are undocumented@ for eg kuna watanzania weng sana latin America hasa Brazil Colombia Argentina na Mexico wanaish kule and they don't give a shit abt Tz# nadhan wakenya wanapenda nchi yao kuliko wabongo
 
Isn't it common knowledge that LDCs like Tanzania are not usually included in many studies?
Kwa map mingi, Tanzania is usually represented with a grey colour, meaning 'No Data'.
Including a country like Tanzania in some research will skew the normal curve.
Huwa wanajumuishwa na 'Others'. Hahaha! 😀
Lol..,and if a must it should be included it is usually ''The country bordering Kenya in the south" .
Hii JF ni tamu...😀😀
Stop sugar coating your horrible rotten country most hated one with its own citizens, we're talking about Kenyans hatred towards their country
 
But those moving today or tomorrow will be the future's diaspora! Seems you'll never understand Kenyans! Their quest to move is out to better themselves and their country Kenya in the long run and not to hibernate forever!
So agree with me Kenya is the measurable country which there is no better life within for its people? Then that's absolutely shithole country
 
Stop sugar coating your horrible rotten country most hated one with its own citizens, we're talking about Kenyans hatred towards their country

You missed the point. Tanzania, by virtue of being LDC, is rarely included in country by country studies. Either the researchers only have a budget to go to the MAIN COUNTRIES, or LDCs will skew the normal curve, or both.

Otherwise if TZ was included in this research, your percentage would be through the roof.
You would be going head to head with Somalia and South Sudan in terms of wanting to leave your country.
 
Stop sugar coating your horrible rotten country most hated one with its own citizens, we're talking about Kenyans hatred towards their country
Cry baby. 🙂 Utafiti ni kuhusu wananchi ambao wana hamu ya kuenda nje ya nchi, au ni kuhusu wananchi ambao wanaichukia nchi yao? English medium inakuhusu! 😀
 
Do you even know diaspora aren't engaged in this report? Na utawaongeleaje watu walioihama nchi yao already kama wanataka kuihama tena?
Nadhani umeandika wanaongoza kuichukia nchi, kama mtu akiichukia nchi, akishaondoka huwa hajishughulishi nayo tena.
Hii argument yako ingekuwa na maana kama ungesema Wakenya wanaongoza kwa kutamani kutoka nje ya nchi yao

Ukitamani kutoka nje ya nchi yako haimaanishi unaichukia nchi yako, pengine unaona nje kuna opportunities zaidi unataka ukazitumie

Watu wanaotoka mkoa mmoja kwenda mwingine haimaanishi wanachukia walikozaliwa
 
what an idiot...how can you say Kenya leads in EA while there is no other east african country in the list...ama nigeria na ghana pia wapo EA?😀😀😀😀🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom