Report :Wohan funeral homes burned Corona Virus Victims Alive....😳

Report :Wohan funeral homes burned Corona Virus Victims Alive....😳

Sema hivi vyama vinavyoanza na CC ni hatari sana hata kile cha kina nanihii...si kilikuwa kinatuhumiwa kuwaweka watu kwenye vifurushi na kuwanyima watu haki ya kuishi
Kile.cha kina nanilii nadhani unamaanisha Chinese Communist Manifesto
 
Hili ninaliamini 100% kuwa watu wenye corona Wuhan walikuwa wakiuliwa kwakuchomwa moto katika sehemu zilizokuwa zimetengenezwa maalumu kama hospitali za kuwahidumia watu wenye Corona. Mfano ile hospital iligojengwa kwa siku 7 ndani in 3rd phase called CORE kuna incinerators kwaajili ya kuwachoma mamilioni ya wachina waliokuwa wameathirika.
This is among of the very classified information in CCP
 
Ni vigumu kuthibitisha tuhuma kama hizi, huenda ni propaganda.
 
Back
Top Bottom