REPORT YA CAG KUHUSU MEMBERS WA HUMU JF

REPORT YA CAG KUHUSU MEMBERS WA HUMU JF

katika 100% upo katika kundi gani?

10%= mabaharia fake

30%= wanachama wa CHAPUTA hapa ndani yake wanawake wapo asilimia 2% tu asipimia 98% ni kina wanaume wa dar wengi wao wakiwa ni UVCCM

25%= wazee wa kubet humu pia wamejaaa tele

25%= humu kuna jobless wengi mno wamejaa

naombeni mmalizie na nyie izo asilimia zingne.
Disapora's mbona hujaweka tuko asilimia ngapi mkuu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Disapora's mbona hujaweka tuko asilimia ngapi mkuu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
mpo. asilimia 4% tu mkuu
 
Back
Top Bottom