sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,501
- 2,935
Habari mi sio mtaalamu sana ila kwann ishu ya nyeti imekuja kipindi hiki? Ambapo report ya cag inahadiliwa na watanzania
Wakati huu pia report ya October ikisubiliwa
Kwann nyeti zimepotea tunduma kwa watukutu imefika mbeya kabwe na sasa watoto wa gaza kimara?
Ukweli kuhusu nyeti huenda ni asilimia 0.01 zikawa story za kupokezana binafs nakubali sasa watu wa mbinu selikalini ila sipo moja moja kuhalalisha
Naomba kuwasilisha