sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,501
- 2,935
Kikombe cha BabuStory za kuibiana nyeti zimeanza juzi tu hapa, eti na dawa ya kuzuia kwa kuvaa pini na rubber imeshapatikana muda mfupi tu huu. Nani kafanya huo utafiti kwa muda mfupi huu na kuja na hilo suluhisho? Watanzania tunaongoza kwa ujuha ulimwenguni.
Hi ishu ilianzia Congo kamanda,ikaenda mpka Rwanda na Badae Burundi,, ikafika zambia zote hizi zilkua tetesi na video zipo apo mjini youtube watu kote uko walitoa dozi.Story za kuibiana nyeti zimeanza juzi tu hapa, eti na dawa ya kuzuia kwa kuvaa pini na rubber imeshapatikana muda mfupi tu huu. Nani kafanya huo utafiti kwa muda mfupi huu na kuja na hilo suluhisho? Watanzania tunaongoza kwa ujuha ulimwenguni.
trump anahusika hapahii ishu hata marekan wanafanya kuamisha magoli
Inahusiana kabisa ni propaganda kwasababu imekuja wakati wa ripoti ya CAG na October 29 wakaona watoke nayo. Kama hii ya nyeti kupotea Ikishindikana watamlipa mwijaku akubali kurekodiwa akitatuliwamarinda. Na mwijaku alivyo hana mshipa wa aibu atakubali tena atafurahia.Hi ishu ilianzia Congo kamanda,ikaenda mpka Rwanda na Badae Burundi,, ikafika zambia zote hizi zilkua tetesi na video zipo apo mjini youtube watu kote uko walitoa dozi.
Na sasa Tz na imeanzia apo Tunduma mpkani mwa Zambia na Tz.
Kwahio ishua sio propaganda ahusiani na hii ripoti.
Sema hi nchi dharau sana.
Pumbavu. Kwamba nyeti zinaibiwa na kwenda wapi? Zikishaibiwa unabakiwa na nini?Hi ishu ilianzia Congo kamanda,ikaenda mpka Rwanda na Badae Burundi,, ikafika zambia zote hizi zilkua tetesi na video zipo apo mjini youtube watu kote uko walitoa dozi.
Na sasa Tz na imeanzia apo Tunduma mpkani mwa Zambia na Tz.
Kwahio ishua sio propaganda ahusiani na hii ripoti.
Sema hi nchi dharau sana.
punguzeni kumsakama yule baba, kazi anayoifanya duniani ni kubwa sanatrump anahusika hapa