The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 4,118 Reaction score 9,864 Nov 3, 2023 #1 Amini usiamini hao wahuni wataishia kupiga mkelele na hakuna kitu itatendeka . Walikuwa wapi hadi pesa yote hiyo inapotea. Wezi wengine ni miongoni mwao. Wanajaribu kutuhadaaa eti waanauchungu nothing...tujipange 2025 tuwatupilie mbali
Amini usiamini hao wahuni wataishia kupiga mkelele na hakuna kitu itatendeka . Walikuwa wapi hadi pesa yote hiyo inapotea. Wezi wengine ni miongoni mwao. Wanajaribu kutuhadaaa eti waanauchungu nothing...tujipange 2025 tuwatupilie mbali