Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,970
Mbunge wa Mtera Living Stone Lusinde wakati akichangia hoja bungeni amechambua kwa kina report ya CAG na kuweka hadharani namna ilivyoweka wazi wizi na ufisadi wa chadema kwenye ruzuku wanayopata kutoka serikali.
CAG ameonyesha manunuzi ya helikopita hewa na upotevu wa mabilioni ya shillingi ndani ya CHADEMA!
Kwa hali hii viongozi wa chadema wanatakiwa kujitathimini na kuachia ngazi mara moja kupisha uchunguzi .
Hii itasaidia Sana kuonyesha utawala bora ndani ya chama na wasipofanya hivyo watanzania hawatawaamini Tena.