Report ya CAG yaiumbua CHADEMA.

Report ya CAG yaiumbua CHADEMA.

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,970
Mbunge wa Mtera Living Stone Lusinde wakati akichangia hoja bungeni amechambua kwa kina report ya CAG na kuweka hadharani namna ilivyoweka wazi wizi na ufisadi wa chadema kwenye ruzuku wanayopata kutoka serikali.

CAG ameonyesha manunuzi ya helikopita hewa na upotevu wa mabilioni ya shillingi ndani ya CHADEMA!

Kwa hali hii viongozi wa chadema wanatakiwa kujitathimini na kuachia ngazi mara moja kupisha uchunguzi .

Hii itasaidia Sana kuonyesha utawala bora ndani ya chama na wasipofanya hivyo watanzania hawatawaamini Tena.
 
Akiishamaliza aende ripoti CAG kuhusu CCM.
 
Mimi nalia na ile tril 1.5 ya wavuja jasho iliyopigwa na serikali ya Sizonje. Hivi, mbona hawana huruma hawa watu?
 
Mbunge wa Mtera Living Stone Lusinde wakati akichangia hoja bungeni amechambua kwa kina report ya CAG na kuweka hadharani namna ilivyoweka wazi wizi na ufisadi wa chadema kwenye ruzuku wanayopata kutoka serikali.

CAG ameonyesha manunuzi ya helikopita hewa na upotevu wa mabilioni ya shillingi ndani ya CHADEMA!

Kwa hali hii viongozi wa chadema wanatakiwa kujitathimini na kuachia ngazi mara moja kupisha uchunguzi .

Hii itasaidia Sana kuonyesha utawala bora ndani ya chama na wasipofanya hivyo watanzania hawatawaamini Tena.
Wewe mbwa kwenye hiyo ripoti hawajasema zile trillion zilizopotea??
 
Chadema billion 7,ccm billion 12+, macho yenu yanaangalia upande mmoja tu? You always see what your eyes want to see!!
 
mijitu imekalia kujitoa ufahamu, yaani unaongelewa wizi mdogo wanaacha wizi mkubwa, mazwazwa!
 
Fisadi no. 1 duniani anajifanya kuwasema wenzake mafisadi kumbe yeye ndio baba lao,ccm woyeeee kidumu chama cha mafisadi sugu.hapa ufisadi tuu
Screenshot_2018-04-15-21-56-17-1.jpg
 
Back
Top Bottom