Akiishamaliza aende ripoti CAG kuhusu CCM.Mbunge wa Mtera Living Stone Lusinde wakati akichangia hoja bungeni amechambua kwa kina report ya CAG na kuweka hadharani namna ilivyoweka wazi wizi na ufisadi wa chadema kwenye ruzuku wanayopata kutoka serikali.
CAG ameonyesha manunuzi ya helikopita hewa na upotevu wa mabilioni ya shillingi ndani ya CHADEMA!
Kwa hali hii viongozi wa chadema wanatakiwa kujitathimini na kuachia ngazi mara moja kupisha uchunguzi .
Hii itasaidia Sana kuonyesha utawala bora ndani ya chama na wasipofanya hivyo watanzania hawatawaamini Tena.
Thibutuu majambazi hayatakubali.Kwa hali hii viongozi wa chadema wanatakiwa kujitathimini na kuachia ngazi mara moja kupisha uchunguzi .
Unajua niliposikia kuwa kila mbunge wa Chadema anakatwa milioni kwenye mshahara nikajua hichi chama "njaa" ni Saccos.Hahahaha kweli mkuu
Wewe mbwa kwenye hiyo ripoti hawajasema zile trillion zilizopotea??Mbunge wa Mtera Living Stone Lusinde wakati akichangia hoja bungeni amechambua kwa kina report ya CAG na kuweka hadharani namna ilivyoweka wazi wizi na ufisadi wa chadema kwenye ruzuku wanayopata kutoka serikali.
CAG ameonyesha manunuzi ya helikopita hewa na upotevu wa mabilioni ya shillingi ndani ya CHADEMA!
Kwa hali hii viongozi wa chadema wanatakiwa kujitathimini na kuachia ngazi mara moja kupisha uchunguzi .
Hii itasaidia Sana kuonyesha utawala bora ndani ya chama na wasipofanya hivyo watanzania hawatawaamini Tena.
Chadema billion 7,ccm billion 12+, macho yenu yanaangalia upande mmoja tu? You always see what your eyes want to see!!
mijitu imekalia kujitoa ufahamu, yaani unaongelewa wizi mdogo wanaacha wizi mkubwa, mazwazwa!Chadema billion 7,ccm billion 12+, macho yenu yanaangalia upande mmoja tu? You always see what your eyes want to see!!

Fisadi no. 1 duniani anajifanya kuwasema wenzake mafisadi kumbe yeye ndio baba lao,ccm woyeeee kidumu chama cha mafisadi sugu.hapa ufisadi tuuMbunge wa Mtera Living Stone Lusinde wakati akichangia hoja bungeni amechambua kwa kina report ya CAG na kuweka hadharani namna ilivyoweka wazi wizi na ufisadi wa chadema kwenye ruzuku wanayopata kutoka serikali.