Report ya Simba SC: Hatimaye report ya muhula mzima ya kijana wetu Simba sc imetoka na matokeo yake kwa kweli hayaridhishi

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
[emoji16][emoji41]
1685729833429.jpg
 
Mwarabu amewakamua huko wewe unakuja na kelele za ripoti hapa.
 
Kijana wa hovyo sana... MO bora ununue ng'ombe kuliko kupoteza pesa ya kuhudumia huyu kijana
 
Imagine kwa matokeo mabaya kiasi hiki, badala ya kuanza mapema kusoma tuition wakati huu wa likizo kutokana na u slow learner aliokuwa nao, ili mhula mpya wa masomo ukianza awe kama kaka yake Yanga!

Yeye yuko busy tu na umbeya, na pia kwenda kwenye vigodoro! Aisee huyu mtoto ni fungu la kukosa kabisa. Asipokuwa makini, kila mwaka atakuwa anavuna mabua tu.
 
Hatuwadai mmeleta kombe la cafcc
20230604_074050.jpg
 
Back
Top Bottom