Reporter wa ITV unaemkubali... utuambie una report kutoka wapi..

Reporter wa ITV unaemkubali... utuambie una report kutoka wapi..

Hv marato alishaenda wap? Jamaa anaringa yule sijawahi kuona.
 
Farhia Middle, Benjamin Mzinga, Charles Masalanyika, Mabere Makubi.
 
Dominiki Chilambo, RTD Tabora
Ben Kiko, RTD
RTD= Redio Tanzania Dar es salaam
 
Hahahaha....Joji alikuwa ananifurahisha sana sijui yuko wapi huyu jamaa maana ni muda sana simusikii akiripoti.

Na ufoo saro yupo wapi?

Mimi ni Catherine Silemu wa ITV

Mmmmmimiiiiiiii ni sijui nani Monyooo wa ITV[emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom