Reporting time Form five wote Tz nzima!

Reporting time Form five wote Tz nzima!

QUOTE=Abubaro;6798671]ni kwel jembe langu, m nataman ingekuwa hata leo, vp lakini shule gan'?[/QUOTE]

Old Moshi high school mojaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
utapokelewa vzr tu mdgo wng.tena n vzr ukawai ukazoee mazngra.unamzuka na skul dogongu.nenda kpge buku!!
 
wazee me wamenchagua HGE lyamungo nataka nihamie old mooosh nkapige PCM coz ndo nmejiandaa nayo na lyamungo hamna PCM watankubalia kwel?
 
QUOTE=Abubaro;6798671]ni kwel jembe langu, m nataman ingekuwa hata leo, vp lakini shule gan'?

Old Moshi high school mojaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa![/QUOTE]

bomba boy nenda kalizoee baridi kabisa.
 
poa ndo dingi kafatilia kwa afisa elimu leo
.huwez amin ad vitab nmenunua na tuit PCM napiga toka april mpaka jana na nmekula topic za kutosha
 
hata watoto ci wanajamii kaka? au! na hili ni jukwaa la jamii pale 2naposhindwa au penye utata tunauliza Kaka jambazi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom