FP hebu njoo huku rafiki. Unakumbuka nilihoji kuhusu authenticity ya hiyo ripoti?
Common sense yangu iligoma kukubali haraka haraka maana, kwanza, ni mapema mno kwa toxicology report kutoka haraka namna hiyo. Pili, hakukuwa na link yoyote kwenye hiyo taarifa ambayo inathibitisha kwamba iliandikwa na huyo daktari. Tatu, hakukuwa na contact info zozote kwenye hiyo taarifa.
Ndo hapo radar zangu zikaanza kubeep. Sasa wasemaje rafiki? Haya mambo ya taarifa za kwenye mitandao ni ya kuyachukulia kwa makini sana la sivyo kuingia mkenge ni rahisi sana.
Bofya
hapa uone uchambuzi wa wengine kuhusiana na hiyo so called taarifa.