Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmhh atazoea tu dear..
klorokwin ni chugu kama hujaizoea..
lakini ukichukua mara 2 au 3
ina utamu zaidi ya asali
hahah lol
heheeheh dah! kamanda unauwa. hii kali dah!AD mwenyewe anazuga hapa anasubiri labda Youtube atatokea,nadhani TF kamwambia Uncle Sam jamaa ni nduguye Ghailani.
Nimekuelewa ngoja mi na tapu tupungue,usiku mwema.samtaimu nakuwa natamani nikuwe mod halaf niwaban memba wote tubaki mimi na wewe tu. dah! utanisababishia nikaanzishe sredi JF doctor mtoto wa mwanamke mwenzio.
mkuu mie mwenyewe napotea, fyueli imeisha kabisa yaani. tumuache afrodenzi akumbane na tabutupuNimekuelewa ngoja mi na tapu tupungue,usiku mwema.
mkuu mie mwenyewe napotea, fyueli imeisha kabisa yaani. tumuache afrodenzi akumbane na tabutupu
AD mwenyewe anazuga hapa anasubiri labda Youtube atatokea,nadhani TF kamwambia Uncle Sam jamaa ni nduguye Ghailani.
Haya naomba afrodenzi tufungie mlango.