Research yangu kuhusu makabila hapa Tanzania

Research yangu kuhusu makabila hapa Tanzania

The MaskmaN

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
350
Reaction score
764
Habari Wana JF

Nimeona leo nitoe katika kile nilicho kitafiti kuhusu makabila yetu hapa nchini,Tanzania.

IFUATAYO NI TATU (3) BORA YA MAKABILA YANAYO ONGOZA KUWA KATIKA TASNIA YA UALIMU WA SHULE YA MSINGI HAPA NCHINI:-
1)wapare
2)wahaya
3)wanyakyusa.


IFUATAYO NI TATU (3) BORA YA MAKABILA(WANAWAKE) YANAYO JUA MAPENZI/MAMBO YA FARAGHA/MAMBO YA CHUMBANI :-
1)wangoni
2)wamakonde
3)wandengereko #hapa kidogo watu watashangaa kuona hakuna MTANGA!!!😎


IFUATAYO NI TATU (3) BORA YA MAKABILA YANAYOONGOZA KUWA WANAWAKE WAZURI SANA LAKINI HAMNA KITU CHUMBANI:-
1)warangi
2)wachaga
3)wapare


IFUATAYO NI TATU (3) YA MAKABILA YANAYO JUA KUVAA :-
1)wamakonde
2)wahaa
3)watanga (mdigo,msambaa,mzigua,mbondei n.k)


IFUATAYO NI TATU (3) BORA YA MAKABILA HATARI KWA UBISHI:-
1)wapare
2)walugulu
3)wahaa


IFUATAYO NI TATU (3) BORA YA MAKABILA YANAYOAMINI SANA KATIKA UCHAWI/USHIRIKINA:-
1)wafipa
2)wahehe
3)wapare


IFUATAYO NI TATU (3) BORA YA MAKABILA YANAYOONGOZA KWA KUKASIRIKA/UTANI KWAO NI NADRA SANA:-
1)wajita
2)wakulya
3)wahaya


IFUATAYO NI TATU (3) BORA YA MAKABILA YANAYOONGOZA KUPENDA NDOA/KUOA/KUOLEWA:-
1)wazaramo
2)watanga (listi kama ya juu)
3)wamakonde


IFUATAYO NI TATU (3) BORA YA MAKABILA YANAYOONGOZA KUKAA MUDA MREFU KWENYE UCHUMBA/MAHUSIANO BILA NDOA (KU DATE):-
1)wanyakyusa
2)wasukuma
3)wachaga


ITAENDELEA BAADAE.......
 
HAPO NI TAFITI ZANGU TU #JOKES,..NOTHING PERSONAL
 
Naona wapare wako secta kama nne hapo............vikoreeeeeee mmetesha mbwanyeni.twesivuka mpaka kimanyike
 
Sijui kuhusu makabila mengine ila wahehe umewaonea nadhani ulikusudia kutaja majirani zao
 
Me nasthubil ya Worldo Meter Cjui wanyaki tutakosa...Tacit za ndani atujawai achwa iviivi
 
Hivyo vi-subsections vya write-up yako ungevipatia walao numbering ili iwe rahisi wachangiaji ku-cite baadhi na kutoa comments. Mfano ungeandika:

A. Ifuatayo ni tatu (3) bora ya ....

B. Ifuatayo ni ...

C. .... N.k.
 
Back
Top Bottom