profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Wadau niende moja kwa moja kwenye mada,baada ya taa ya low fuel kuwaka,je noah old model reserve tank yake ni lita ngapi? au inaweza kutembea km ngapi ndo gari izime..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau niende moja kwa moja kwenye mada,baada ya taa ya low fuel kuwaka,je noah old model reserve tank yake ni lita ngapi? au inaweza kutembea km ngapi ndo gari izime..
Hapo ni kuongeza mafuta tu.. Achana na habari ya kusubiri mpka gari izime, kuna siku nimeumbuka barabara ya kimara tena ilikuwa folen ya saa 2 usiku.wadau niende moja kwa moja kwenye mada,baada ya taa ya low fuel kuwaka,je noah old model reserve tank yake ni lita ngapi? au inaweza kutembea km ngapi ndo gari izime..