Reshuffles UDOM zinatisha

Joined
May 7, 2012
Posts
21
Reaction score
4
Hizi reshuffle udom zinatisha kwakweli, kuna watu wanahamishwa kila leo na wengine wapo tuu...ndio kusema wanaohamishwa sana wanaboronga au???au ndo wanaompinga huyo mbilikimo wenu tehe tehe tehe...jamani. Na huko social huyo aziza ndio nani au mnaogopa kwakuwa ...tufanye kazi acheni kuchongeana. Angle , mwalongo, mwanana kazi hamjui na tabia zenu ni mbwaya mbona hamuhamishi au ndo vibaraka wa "zakayo"? Haya bwana vc amka uendeshe chuo chako la sivyo andunje atakiua lol.....mliohamishwa wooooooooooooooooote iwe kwa majungu, kwa heri kwa unafiki nawapa bigup kwakuwa ni wazalendo hamulei ujinda. Kwa mnaopata fedha akina kusaja, gloria, aziza, mwandege na wenzio mjiandae 2015 kwani hakika rais ataondoka na mandondocha yake yyyyyyyyyyyooote.
 
HAaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwakweli wataondoka wengi baada ya kutumia pesa ya serikali....KIKULA amkaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Poleni wanadodoma. Na ile kazi ya islamazation nayo imeisha?maana hiko nasikia ni uislamu mtupu! hasa mambo ya ajira.
 
Mwandishi umeandika kwa lugha gani?????sijaelewa!!!!!!!!!!!!
 
Kusaja naye yupo huko, alikuwa mla rushwa sana na mademu pale USAIB Mlimani basi mmekwisha pale mlimani tulimfanyia kitu hatasahau 2002-2005
 
Inaonyesha UDOM kuna matatizo sana ya uongozi.

ILakini kama alivyosema bushman hapo juu, mwandishi unapaswa kujua jinsi ya kuandika vizuri, kwa mpangilio mzuri. Unaandika kama una ruka ruka, halafu hujui hata kutukia herufi kubwa na ndogo. Hiki kizazi cha dot com na elimu za dot com ni shida tupu.
 
Mtoa mada inaelekea unasoma UDOM au UMEGRADUATE HAPO MBONA UNAWAJUA VIONGOZI WOTE ALAFU UNGEANDIKA VIZURI INAELEKEA UMEANDIKA UKIWA NA JAZBA SANA.TULIA UTUELEZE VIZURI.
 
nahisi hizo reshuffle za huko UDOM ni kwa nia nzuri tu ya kuimprove utendaje wa kazi na ni standard sehemu nyingi tu hata hapa Uganda
 
Mkereketwa inaonekana una hoja nzito ila tatizo lako hujatulia ukatupa dataz vizuri au hukupenda kutupa kwa undani.Pls tuambie bwana tujue kwa undan maana twapenda kujua bwana!
 
Hapa mi nashangaa kuona watu wanahamishwa na wengine wanaachwa nilifikiri wote wanahamishwa ili kubadilisha mazingira na kuzuia uwepo wa wizi lakini wengine wanaonekana wanaachwa hili kwa kweli mm naona ni tatizo
 
Mkereketwa inaonekana una hoja nzito ila tatizo lako hujatulia ukatupa dataz vizuri au hukupenda kutupa kwa undani.Pls tuambie bwana tujue kwa undan maana twapenda kujua bwana!

Haja hoja yoyote. Huyu bwana anajulikana kwa majungu. Kuhamishwa kutoka idara moja kwenda nyingine kuna ajabu gani. Taasisi gani isiyohamisha watu duniani. Pia mtu kukaa sehemu moja kuna sababu nyingi zikiwemo utendaji mbaya au mzuri. Yote yanategemea matashi ya mwajiri.

Hivi hawa watu wa UDOM hawana kazi au? kila siku UDOM, UDOM tumewachoka bwana na majungu yenu. Huyu aliyeandika anajulikana sana wala si mwanafunzi kama wengine mnavyodhani ni mfanyakazi mwendeshaji tena yeye wala hajahamishwa ila tu ana yake binafsi.

Wewe huoni haya unatukana mabosi wako wanaokuweka mjini. Umesahau ulipokuwa unasotea kibarua? Kila siku ofisini kwa jamaa kuwaomba wakusaidie maombi yako yakubaliwe. Mpaka kwa sangoma umefika kumuomba ati akusaidie kupata kazi. Umepata sasa unaichezea. hoo nimehamishwa, sema umehamishiwa wapi? Wacha majungu bwana usipotoshe umma kwa ubinafsi wako.

Wanaoipenda nchi yao wanachapa kazi wewe endelea na majungu yako.
 
Mamkwe ebu tusaidie bwana,kwa kuwa mtoa mada anaficha id yake ni vizuri ukammuumbua kwa kumtaja jina hasa kama inamfahamu!,ila ni kweli kuwa kuhamishwa ni suala la kawaida lakini mtoa mada inaonekana anajua chanzo chake ambacho ni tofauti na hiyo sababu ya kawaida!
 
Naheshimu maadili ya ukumbi, lakini akiendelea kuleta majungu nitaomba ruhusa nimuumbue. Kama anajua sababu ya kuhamishwa kwake anakodai aseme. Sababu ninazozijua mimi ni kuwa kuna watu wamestaafu, wameacha kazi, kuna idara zina upungufu, nk. pia kuna kujipanga upya katika kuleta ufanisi. Yeye aseme hizo sababu anazozijua.

Wengi wa wafanyakazi waliohamishiwa kwenye College na School wamefundishwa kazi na Kusaja pamoja na huyo mpika majungu.

Huyo bwana kwa fitna ndo zake amesababisha wenzake hata kufukuzwa kazi. Wanafanya mambo yao akijifanya mwanzao kesho anakwenda kuwachongea. Ikichunguzwa inaonekana kweli wenziwe wanafukuzwa yeye anaruka. Huyu jamaa ni sawa na muuaji.
 
Naanza kukuamini Mamkwe maana mtoa mada nadhan angekuja hapa kuliendeleza lakini naona amekuwa mkimya sana,mienitafurahi nikimjua pls.Poa but ,ntatake time kumjua pia!
 
Asante kwa kuning'amua mkuu manake nimempata... Huyu jamaa ana choyo na majungu sana... in addition ana stress za maisha ndo mana wamehamishwa wengine yeye anajishtukia. yeye hahamishwi ng'o labda aache kazi!
 
Kikula is a ceremonial VC. Totally powerless over andunje! The defacto VC is andunje. Kinabo is the UDOM publisher, not the ARC!
Kinabo ni Publisher? Un maanisha nini hapo mkuu kwa huyu msomi wa ukweli?
 
Asante kwa kuning'amua mkuu manake nimempata... Huyu jamaa ana choyo na majungu sana... in addition ana stress za maisha ndo mana wamehamishwa wengine yeye anajishtukia. yeye hahamishwi ng'o labda aache kazi!

Si hivyo tu ni mwizi pia. Kabla hajajiunga na UDOM huko alikokuwa katimka/katimuliwa kwa tuhuma za wizi. Anadai aliacha kazi lakini ukweli ni kwamba alikwiba.

Kama ana ubavu aseme jinsi alivyowadanganya wenziwe wakala hela za THTU. Kawaruka sasa wenziwe wamo matatani. Ana sifa za kupepeta sana huku akijifanya malaika akifikiri kuwa siri zake hazijulikani. Yeye hata maadili ya kazi hana. Nashangaa kwa nini mpaka leo yupo kazini. Huyo bwana kazi yake ni kunyofoa document kwenye mafaili na kuwaziuzia wanafunzi pamoja na kunyanyasa wenzake. Asione mtu ana kitu hata binti akiwa na mimba basi anamuonea wivu. Ni mtu wa ajabu sana. ROHO MBAYA KAMA SURA YAKE
 
Hahahahhaha,mama mkwe nimeshamjua pia bwana.Ila ni noma,si huyuhuyu alikuwa Swahiba wa mtu anayemuita "Zakayo" leo??,Mhhhhhh maisha bwana.Nahisi angekuja aombe msamaha tusije tukamtaja bure hapa.Au anataka naye kuw mtu wa UN???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…