WILLIAM MARCONI
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 2,108
- 878
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka bei na ukubwa wa kiwanjaViwanja vinauzwa Goba Kisauke Plot X mita 400
ndani toka barabara ya lami na kuna maji, umeme na 4G zote. Vimepimwa.
Yaani kiwanja 20 kwa 20 mnauza milion 40?? ina maana 1SQM = 100,000 Sahau!!!
Huu ni utani na thamani ya pesaYaani kiwanja 20 kwa 20 mnauza milion 40?? ina maana 1SQM = 100,000 Sahau!!!
Ufafanuzi: bei ya viwanja ni shilingi 25,000/= per square metre. Kiwanja 20mx20m eneo lake ni square metre 400, hivyo bei ni milioni 10. Umbali kutoka barabara ya Goba ya lami kuingia eneo letu ni mita 400 tu na kuna maji, umeme na 4G. Piga 0622303759 kutembelea.Huu ni utani na thamani ya pesa
Ikitokea unavyo Kisauume nishtue MkuuViwanja vinauzwa Goba Kisauke Plot X mita 400
ndani toka barabara ya lami na kuna maji, umeme na 4G zote. Vimepimwa.
Mleta Mada ni WILLIAM MARCONI ,Ufafanuzi: bei ya viwanja ni shilingi 25,000/= per square metre. Kiwanja 20mx20m eneo lake ni square metre 400, hivyo bei ni milioni 10. Umbali kutoka barabara ya Goba ya lami kuingia eneo letu ni mita 400 tu na kuna maji, umeme na 4G. Piga 0622303759 kutembelea.View attachment 1165132View attachment 1165133View attachment 1165136