Kabaridi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 2,022
- 534
wahenga husema palipo na moshi hapakosi moto. sasa hivi kwenye mrengo wa chungwa, wanaojihakikishia makuu ya useneta ugavana na womens rep bila wananchi wenyewe kunena kupitia kura zao watapata wakati mgumu wakitolewa nje uchaguzi utakapokamilika.
juma zilizopita mrengo huo ulijaribu kuuficha moshi kwa kutoa visingizio kwamba TNA walikuwa na changa moto aina hizo! asiyejua maana ya jambo kwa kweli haambiwi!
Kilicho na mwanzo haikosi mwisho siasa za six-piece zimefikia kikomo katika siasa za kenya
Last edited by a moderator: