Respect kwako, Pep Guadiola..Hakika Spain, Norway na Ireland Mungu awabariki

Respect kwako, Pep Guadiola..Hakika Spain, Norway na Ireland Mungu awabariki

DesertStorm

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2015
Posts
3,131
Reaction score
2,537

Kama una ungana na Pep Gudiola, pamoja na kuwaunga mkono na kuwaombea dua Ndugu zetu wa Palestina basi like hapa.

Spain ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ
Norway ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ
Ireland ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ

Basi kwa leo nawaombeni Mods msifute uzi wangu wa kuunga mkono PALESTINA. Japo sina uhakika kama clip hii ni ya siku hizi au ya zamani, mtaniwia radhi.

Ahsanteni.
 
View attachment 3003041
Kama una ungana na Pep Gudiola, pamoja na kuwaunga mkono na kuwaombea dua Ndugu zetu wa Palestina basi like hapa.

Spain ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ
Norway ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ
Ireland ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ

Basi kwa leo nawaombeni Mods msifute uzi wangu wa kuunga mkono PALESTINA.

Ahsanteni.
Pole sana umelishwa matango pori na wewe ukajaa. Shida ya kucopy na kupaste bila kujiridhisha.
Huyo anaitwa Alan Smith kocha wa zamani huko uingereza na hiyo video ni mwezi wa 8, 2023 na siyo ya mwaka huu.
Uwe unachukua mida kujiridhisha kabla ya kuleta habari
Asante
 
View attachment 3003041
Kama una ungana na Pep Gudiola, pamoja na kuwaunga mkono na kuwaombea dua Ndugu zetu wa Palestina basi like hapa.

Spain ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ
Norway ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ
Ireland ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ

Basi kwa leo nawaombeni Mods msifute uzi wangu wa kuunga mkono PALESTINA.

Ahsanteni.
Shule hazina matundu ya vyoo wewe unahangaika na watu wasiokujua
 
Shule hazina matundu ya vyoo wewe unahangaika na watu wasiokujua

Inakuuma nini? udini unawasumbua sana enyi watu, hata ofisi za serikali tunajionea baadhi yenu mlivyo wadini.

Palestine ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ will be free in shaa Allah
 
Hata kama nani, lakini kama anaunga mkono mayahudi hafai na anapaswa kuuawa kama walivyouawa wengine wanaoshirikiana na mazayuni.
Suala ni kwamba video haina uhusiano wowote na ulichokiandika. Hao walikuwa na bifu zao binafsi. Na wala huyo unayamsema siyo muisrael. Vilevile hiyo video ni ya tarehe 6 mwezi 8, mwaka 2023 na siyo mwaka huu kama wengi wanavyopotosha kwenye mitandao

Hapa ndo inaonyesha ni kwa namna gani watu mnapewa habari za uongo mnaruka nazo.
 
Mimi sielewi kama wana bifu, so nimeleta kama jinsi ilivyo, kama itakua ya zamani, basi mniwie radhi
 
Mpira na suasa ni tofauti ndio maana Kuna Chadema na CCM lakini kwenye mpira utakuta ama wote yanga au Simba
Kazi ya michezo ni kuunganisha watu na kuleta upendo hivyo mada yako ilifaa uipeleke ama jukwaa la siasa au internatio news
 
Mkuu upo sahihi Kwa utashi wako kuitetea Palestine lkn hiyo video sio ya ulichokisema
 
Back
Top Bottom