DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Pole sana umelishwa matango pori na wewe ukajaa. Shida ya kucopy na kupaste bila kujiridhisha.View attachment 3003041
Kama una ungana na Pep Gudiola, pamoja na kuwaunga mkono na kuwaombea dua Ndugu zetu wa Palestina basi like hapa.
Spain ๐ช๐ธ ๐ช๐ฝ
Norway ๐ณ๐ด ๐ช๐ฝ
Ireland ๐ฎ๐ช ๐ช๐ฝ
Basi kwa leo nawaombeni Mods msifute uzi wangu wa kuunga mkono PALESTINA.
Ahsanteni.
Shule hazina matundu ya vyoo wewe unahangaika na watu wasiokujuaView attachment 3003041
Kama una ungana na Pep Gudiola, pamoja na kuwaunga mkono na kuwaombea dua Ndugu zetu wa Palestina basi like hapa.
Spain ๐ช๐ธ ๐ช๐ฝ
Norway ๐ณ๐ด ๐ช๐ฝ
Ireland ๐ฎ๐ช ๐ช๐ฝ
Basi kwa leo nawaombeni Mods msifute uzi wangu wa kuunga mkono PALESTINA.
Ahsanteni.
Shule hazina matundu ya vyoo wewe unahangaika na watu wasiokujua
Suala ni kwamba video haina uhusiano wowote na ulichokiandika. Hao walikuwa na bifu zao binafsi. Na wala huyo unayamsema siyo muisrael. Vilevile hiyo video ni ya tarehe 6 mwezi 8, mwaka 2023 na siyo mwaka huu kama wengi wanavyopotosha kwenye mitandaoHata kama nani, lakini kama anaunga mkono mayahudi hafai na anapaswa kuuawa kama walivyouawa wengine wanaoshirikiana na mazayuni.
Suala ni kwamba video haina uhusiano wowote na ulichokiandika. Hao walikuwa na bifu zao binafsi. Na wala huyo unayamsema siyo muisrael. Vilevile hiyo video ni ya tarehe 6 mwezi 8, mwaka 2023 na siyo mwaka huu kama wengi wanavyopotosha kwenye mitandao
Hapa ndo inaonyesha ni kwa namna gani watu mnapewa habari za uongo mnaruka nazo.