‘Respect us!’ President Kenyatta warns foreign countries against meddling in Kenyan affairs

Hivi sasa ndio 'mabeberu' huwa wanapewa zao za uso. Respect us! Sio kwa kupanick na kukodoa mimacho ukifoka foka na kusema kwamba mlishinda sijui vita vya Kagera.
Mkuu, kwani shida ni nini? Kitu gani hao "mabeberu" wamefanya hadi UK akatokwa na povu namna hii?
Wamemwambia nini? Au wamemchoka na axis power inakuwa shifted to the south so kupanic na desperation kama yote?
 
Hivi sasa ndio 'mabeberu' huwa wanapewa zao za uso. Respect us! Sio kwa kupanick na kukodoa mimacho ukifoka foka na kusema kwamba mlishinda sijui vita vya Kagera.
Hahaha huku wwnzako mabeneru sasa iv wame fyata mkia wana u ga mkono na wengi wameanza na kujifunza kiswahili kwa speed. Iyo kauli ya UK ana wadanganya tu nyie mabweze wake

Ukumbuke Macron akinuna hapo project yenu ya barabara ile inaoota mbawa
Na mlivyo na madeni sasa ....embu kwanza kaweke signature kwa BBI
 
Hebu usifananishe nchi kubwa na kanchi kadogo. Idadi ya watanzania ni millioni 60 na ushee.
Angalia worldometer kama unabisha.

mkuu hata tukiwa milioni 70 lakini bado najiuliza wakenya mil 50 wanaishije kwenye nchi ndogo vile ? wakati sisi tu li nchi lote hili lakini bado tunabanana
 
Kwa hili nakinzana na rais wetu, Afrika imejaa madikteta na kusababisha umaskini na ukata wa ajabu, chaguzi zikifanyika wanasindika kura na kubaka demokrasia na haki za watu. Hapana rais wangu lazima tusemwe na mabeberu, la sivyo tutaangamizwa, hebu angalia majirani wote waliotuzunguka, wote kote ni kilio, umaskini na kiza tupu.
 
Anaiga baada ya kumsikia muheshimiwa Kabudi
 
Tanzania , maana Tanzania inapewa msaada mpaka wa unga , mchele hata kujilisha haiwezi
 
Hivi sasa ndio 'mabeberu' huwa wanapewa zao za uso. Respect us! Sio kwa kupanick na kukodoa mimacho ukifoka foka na kusema kwamba mlishinda sijui vita vya Kagera.

Aha haaa,
Anaongea kinyonge, eti, mthituingilie mambo yetu ya ndani, wakati mabeberu tayari wako chumbani wanajivinjari.
😁😄😃
 

😃😀😁
Umesahau China na waarabu walivyo leta chakula cha wakenya wanaolala njaa kwenye paper based ea economic giant.
 
kumbe wakenya wapo milioni 50, nilisikia na watanzania ni idadi hiyo sasa najiuliza wakenya wengi hivo wanaishi vipi kwenye hiyo nchi na ni ndogo

Swali la kwanza lilikuja kichwani kwangu pia, nikaanza kuhisi labda jogorafia yangu imekaa vibaya naifananisha Kenya na Rwanda pale kwenye ramani.
 
Sasa kwa nini unasema "ulisikia" watanzania ni millioni 50. Wewe ulisikia wapi? Acha kupotosha.

Takwimu halali ni zile zinatolewa na mamlaka maalumu baada ya sensa ya kitaifa. Mara ya mwisho ilifanyika 2012 ilikua 44.9 million.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…