Rest BBQ asipoangalia atapotea kwenye ramani ya biashara za mtandao

Hivi wanapataga wapi wanaume wa kuwakalisha chini na kusikiliza umbeya Kama Yule kweka?

Mbona wanaume wengine hawana haya mambo?!

Ila Rest sijui Kwa nini anapenda vita namna hiyo
Huyo baba atakuwa mpole sana..mtu anayejielewa hawezi ruhusu mke wake aingie insta live sa nne usiku kuchambana aisee
 
Haya cheza hivi..jamaa anacheza [emoji1787][emoji1787]
 
Sasa mtu kama analelewa unategemea nn anakuwa kama mtt vile njoo unywe uji nenda kalale 😃
 
Unavyotiririka unanikumbusha kwa mbaaaali warumi. (RIP)
 
Resty nilikua namheshim kumbe nimegundua kichwani hazimo
Manake ameanza kumbully mwenzie amfananishe na nguruwe wakati yeye watu walipomwambia mnene hapendezi alikua anawablock
Kaenda mbali adi kumwambia mwenzie sio mrembo kisa mweusi wakati vipodozi anavyouza anatumia adi models weusi!
Yani kumbe yule ni bure kabisa
 
Bure kabisa yule. Eti anamsema mwenzake ana mali za urithi wakati yeye anataka urithi kwa baba mtoto wake, anasema mwenzake nyumba yake mbaya ina makabati ya mpingo na korido, wakati yeye kapanga na mapazia miaka nenda kabadilisha juzi hahaha. Jikoni pako rafuu nafuu ya mwenzie mwenye makabati ya mpingo. Anamwita mwenzie nguruwe mweusi hajui nguruwe mweusi ni WA pori na nyama yake ndo tamuu, yeye nguruwe mweupe akiitwa ndo anaona wamembully, nyambafu huyu rest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…