Rest BBQ asipoangalia atapotea kwenye ramani ya biashara za mtandao

Nimecheka aisee..sijawahi kumwelewsga huyu mchaga gani..Mama anaingia live anathema wewe unachekelea kweli?
 
Resty form threw anafanya matangazo anakaa kwenye mabango ukipita posta unamkuta,morroco unamkuta,pale akiba unamkuta,mbagala na Tanzania,form three hapoo hivyooo
Resty ameanza kujipambania Toka Yuko shule yaani ana madhaifu yake mengi sana lakini yule ndo wale get rich or die trying

Namkubali japo ana nyodo na jeuri ila rest kufulia sio Leo Wala keshoo..yule akifulia kwa mgahawa anarudia business zake za kitambooo,kwanza kwa Sasa ni malaika mnooo resty saaaa tu wamuache dada wa watu
Upendo nae aache drama jamani
Rachel nae ni mgonjwa yule wa akili ,demu bwana Ake mtu wa UN ana mahela aanaishi good life ila ana wivu na chuki na mtoto mdogo kama resty,inshort rachel temu ni toleo la mwisho la wachaga ndo maana walimdipoti USA hakanyagi tena
 
Rachel kapata kichambo squared
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…