Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
No freakin idea what this is eitherWhat's this shit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No freakin idea what this is eitherWhat's this shit
Nimecheka aisee..sijawahi kumwelewsga huyu mchaga gani..Mama anaingia live anathema wewe unachekelea kweli?Ila inaonekanaga anapelekeshwaga sana huyu mangi.
Haya twende kanisani...sawa mama
Haya twende tukaogelee...sawa mama
Haya twende kwenye kitchen part...sawa mama
Haya sogea hapa tupige picha...sawa mama
Sura ake inaonyesha ni mtu anayepelekeshwa sana.
Rachel kapata kichambo squaredResty form threw anafanya matangazo anakaa kwenye mabango ukipita posta unamkuta,morroco unamkuta,pale akiba unamkuta,mbagala na Tanzania,form three hapoo hivyooo
Resty ameanza kujipambania Toka Yuko shule yaani ana madhaifu yake mengi sana lakini yule ndo wale get rich or die trying
Namkubali japo ana nyodo na jeuri ila rest kufulia sio Leo Wala keshoo..yule akifulia kwa mgahawa anarudia business zake za kitambooo,kwanza kwa Sasa ni malaika mnooo resty saaaa tu wamuache dada wa watu
Upendo nae aache drama jamani
Rachel nae ni mgonjwa yule wa akili ,demu bwana Ake mtu wa UN ana mahela aanaishi good life ila ana wivu na chuki na mtoto mdogo kama resty,inshort rachel temu ni toleo la mwisho la wachaga ndo maana walimdipoti USA hakanyagi tena