Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga hojaMuacheni resty wa watu,upendo nae mkorofi tuuu!!Kama yeye hawezi eka kiputo anafanya mazoezi awaach wanaoweza kuweka putoo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jiko wazi mkorofi yule...na Rechel wake...Muacheni resty wa watu,upendo nae mkorofi tuuu!!Kama yeye hawezi eka kiputo anafanya mazoezi awaach wanaoweza kuweka putoo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jiko wazi.... alijisikia tu kukumbukwa na Wananzengo....Kwani nani alianza kumchokonoa mwenzake?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aah kwahiyo waligombana sana
Yaani wanapenda kumchokoa chokoa Sana Kama Rachel temu ni mgomvi mnooo!!!Jiko wazi mkorofi yule...na Rechel wake...
Rest wamuacha kabisa... halinaga shida na mtu... ni lizuri kama roho yake..
Mama ImaniKwani nani alianza kumchokonoa mwenzake?
Mi staki kuamini aliamua tu kumkorofisha restg anamuonea wivu tuu[emoji26][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!Jiko wazi.... alijisikia tu kukumbukwa na Wananzengo....
Kama Rachel huwa namuona kubwa jinga...Yaani wanapenda kumchokoa chokoa Sana Kama Rachel temu ni mgomvi mnooo!!!
Sijui hata Ana shida gani na resty ,wivu tu asijilinganishe na restuta hata kidogo yeye anaishi kwa hisani ya mzimbabwe huko Kenya Ila resty ni self made haijalishi njia gani amepitia hakuna tajiri msafi ktk uso wa ardhi,kutwaa kumsimanga Mara hivi ,Mara vile,anakaa kimya wangejua alikotokea na pale alipofikia rest Ni mlokole na ametulia Sanaa!
Wamuache atafute riziki yake ya halali nyuma ya pazia hatujui
Afu Upendo ni very insecure hajiamini hata kidogo Yule dada,akubali tu maumbile yake na Mungu alishampa Hakuna Cha kubadilika
Yale mavazi anayovaaga afu watu wanamsifiaga[emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]jamani watu wanaafiki mweeeeehh!!
Mbona akivaa nguo za staha anapendeza Sana!
Amuche Resty mrembo wetu ,unene wa rest usilinganishe na Open jamani kaahh[emoji3526][emoji3526][emoji1493][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Upendo yuko na shida mahali..yule kiboko yake ni Sarah Terrence... kuna kipindi moto uliwaka Jiko wazi aka'surrender mwenyewe...Mi staki kuamini aliamua tu kumkorofisha restg anamuonea wivu tuu[emoji26][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!
Wamuache restitua buraa...ndoa imemtuliza Sana Namuombea Mungu atulie vile vile mama Hayley
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mmeyakosa...acheni wapeane rahaIla inaonekanaga anapelekeshwaga sana huyu mangi.
Haya twende kanisani...sawa mama
Haya twende tukaogelee...sawa mama
Haya twende kwenye kitchen part...sawa mama
Haya sogea hapa tupige picha...sawa mama
Sura ake inaonyesha ni mtu anayepelekeshwa sana.
Resty wa 1988 , Rachel anaenda 40 hukoo...!!!amuache Sana tu dada wa watu Wala hawafanani!Kama Rachel huwa namuona kubwa jinga...
Umri wake ni wa kuanza kutukanana na Rest jamani? Amehangaika Dunia nzima hakuna alichopata... Leo yupo busy kutukanana na Rest... Rest mwenyewe kamzidi mbali mno..Kwanza huwa nafurahi sana vile Rest anavyomkalia kimya...Rachel ndiyo anapandwa hasira sasa... na bado...
Mimi binafsi ki ukweli Rest nampenda...nampenda tu... hana baya. Kuna wakati tuliwahi kwenda Rest Park wakati yupo Mbezi chini... Nyie... yule Dada ni Mkarimu mno.. Hana ubaguzi wa wateja wake.. kuangalia huyu ni Celebrity au siyo... ni unakuwa treated vizuri hadi unapenda...
Acha aji'enjoy aisee... Hela ni hela tu.. hakuna hela safi wala chafu..
Si ndiyo hapo....Resty wa 1988 , Rachel anaenda 40 hukoo...!!!amuache Sana tu dada wa watu Wala hawafanani!
Rachel stress zimemzidi Yule Hana lolote,wivu tu kajituma mdada wa watu kufanikiwa leo wanamuonea wivu tu!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mi nampenda mpambanaji Sana resty Mungu amuinue sanaSi ndiyo hapo....
Anaacha kufanya ligi na rika lake anahangaika na Rest....
Rest hata asipofanya biashara zake hizo.... Ana uhakika wa kula Kodi ya nyumba pale Usafini...
lakini baba mtoto si ametoka jela?Si ndiyo hapo....
Anaacha kufanya ligi na rika lake anahangaika na Rest....
Rest hata asipofanya biashara zake hizo.... Ana uhakika wa kula Kodi ya nyumba pale Usafini...
Ilikuwaje tena na Sarah? Nampendaga sana, ni mzuri mpaka roho yake, ukila terrace unaenjoyUpendo yuko na shida mahali..yule kiboko yake ni Sarah Terrence... kuna kipindi moto uliwaka Jiko wazi aka'surrender mwenyewe...
Rest abarikiwe sana.. Imagine analea hadi watoto wasio wake..na anawatunza vizuri tu.. kwanini Mungu asimbariki jamani...
Nyumba ya usafini ilikuwa ya john na ilishauzwa kitamboSi ndiyo hapo....
Anaacha kufanya ligi na rika lake anahangaika na Rest....
Rest hata asipofanya biashara zake hizo.... Ana uhakika wa kula Kodi ya nyumba pale Usafini...
We nawe Kuna baba pale? Rest ndio kaoa paleHuyo baba atakuwa mpole sana..mtu anayejielewa hawezi ruhusu mke wake aingie insta live sa nne usiku kuchambana aisee