Rest in peace Dr. John P. Magufuli.

Rest in peace Dr. John P. Magufuli.

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Ama kwa hakika tumeondokewa na Jembe.

Nilikusupport sana kwakua mimi ni muumini wa falsafa za matendo.

Kupiga kazi bila porojo. That's my motto.

Ingawa umemaliza mwendo. Rest assured kwamba vijana wako tupo na tutaendeleza yale yote mema uliyoyawaza kuyafanya.

Tulikusuport na makamu wako ambaye kwa sasa anaendelea pale ulipopaacha,

Tutamsupport naye pia kama Rais wa nchi yetu kwa sasa.

Mungu aibariki nchi yetu.
 
burian shujaa
Image 26-3-2021 at 5.11 PM.jpg
 
Back
Top Bottom