Kwako inaweza kuwa sawa ila kwetu tunaokuthamini tunakwazika na kukereka . Nadhani neno sawa usingelitumia katika kumnyamazisha. Ukimya (ignore) saa ingine ni dawa. Ubarikiwe (ref: Rest In Peace Kizzo Gunz)Unadhani ningemjibu nini? Nilimwacha tu aniite apendavyo
Naona hupendi ujinga umewapa za uso ila wabongo hawapendi kukaa kimya hata jambo wasilolijuaWajalaana nyie utasema hamkuzaliwaaa mxiewwwwww kama mtu humjui,hakuhusu kikeni wala kiumeni,hujawah mvalisha wala kumlishaa akiamuaa kutembeaa uchi au kuvaa nguo inakuhusu nini???ndosii sisi tunamjuaaa kitambo kaka wa watu hana neno na mtu ilaa nyie mnaojiita marijali uchwaraa ndo nyie bao mojaa chali,hivi wanaume wa siku hizi mbonaa mna tabiaa za kike saanaa ,mmekuwa wmabeyaa kuliko wanawake ,nyie mlifata nini mombasa kama sio kwenda kuliwaa??manake wa mombasa anamjuaa wa mombasa mwenzio ,mnapata wap ujasiri wa kumdiscuss marehemu bora hata ungemjuaa ndo kwanza mmemuona leo nyie mliotapikwa manake mngekuwa mmezaliwa atleast mngeheshimu marehemu ,Mungu anawachukuaa watu wazuri kama wakina Ndossi anaacha mataka taka kama nyie mnaoongea pumba while mpo nyuma ya key board ,sisi tunaomjuaa acha tuomboleze kama ww umjue nenda kasukutue hayo mapum**yenu .......marehemu mnaotembeaa nyie
Haya ndo madhara ya kuzaliwa shambaa Alafu maisha ya shida na kuja kupatiaa elaa ukubwani ndo maana akili zenu bdo zipo kilocal local......VUMBAPU NYIE
.
.
.Yaan naandika huku natetemeka manake nayamani niwatukane nashindwaaa........
Kizo hautasahaulika baba rest in Peace ulikuwa mtu na nusu nakukumbukaa kwa mengi saaaaaa na ulipigana saaana lakin Mungu alikupenda zaidi ...tutakukumbuka daimaa kwangu utabaki kuwa 'SHUJAAA'
Duh!hizi sasa sifaa NN kingereza km kichina [emoji1] [emoji1] [emoji1]Rest in power schoolmate!
We hung out a lot back in the day.
Skipped a lot of classes together just to go eat at our favorite ‘chips’ joint...Kwa Shirima.
On Sunday we kicked it at Coco beach! Flossing the latest sneakers, pushing our parents’ whips while bumping the hottest hip hop joints while gangsta leanin’ at the same time....just to mack at the shorties.
Herbert is gone. Now you are gone. Sitting here wondering who’s next? Me? Dassu? Gwamaka? Harold? Kunda?
Oh well such is life, though. Rest well hommie.
Hahaahaha. Yangu ya nini sasa?Hebu weka picha yako tukuone
Hilo kundi enzi tuko wanafunzi lilikua linaulizana kuna demu gani mzuri aneshtua mashule Yale makubwa makubwa wanakulia mingo mpk wanakukula so may be ni hilo au ndo aina ya makundi hayo!Mazoea tu. Mbona mi nimempost kote na hajawahi kunila. Alikua kwenye kundi ambalo 80% ya wadada wa mjini wameshaliwa na hilo kundi. Ndo sababu wanawake wengi wanamjua
Ndo kundi la aina hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo kundi enzi tuko wanafunzi lilikua linaulizana kuna demu gani mzuri aneshtua mashule Yale makubwa makubwa wanakulia mingo mpk wanakukula so may be ni hilo au ndo aina ya makundi hayo!
Yaani walikua wanaliwa kina rest, Diana,baby mgole,sachque,kina renalda n.k na wale watoto wa hostel pale GG wameliwa mnoooNdo kundi la aina hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vibaya mnooo!!to the fullest!!Wanajua kuishi maisha yao sana
Aiseeeh![emoji1] [emoji1] [emoji1] watoto wa mjini Sana hao!Basi akaja kuungana na wakubwa wanaitwa G8.
Hahah, mi namjua Corry gunzMimi namjua Peter Gunz tu...wana undugu?
Umeitaja GG yaani girls guide hostel nimekumbuka mbaliYaani walikua wanaliwa kina rest, Diana,baby mgole,sachque,kina renalda n.k na wale watoto wa hostel pale GG wameliwa mnooo