Rest In Peace Kizzo Gunz

Rest In Peace Kizzo Gunz

Huyu jamaa alikuwa nani mjini? Na hzo ni nin maskioni? Anyway RIP
 
Ndo hao haooo kaka angu..

Huwa nacheka mnoooooo...pindi wanapoelezea historia zao haswaa namna walivyoweza kupata hela[emoji1] [emoji1] [emoji1] wakati kuna mmoja kashawahi kuliwa hadi mande(mtungo)[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ...
Ni wachafu Mara 100 Faiza Ally

Hahaha maninar watu wamepigana vita mnoooo. ...
 
umejuaje kuwa jamaa SIO MMASAI.?
acha UPUMBAVU.
jadili vitu vya maana.
HATA KAMA NI SHOGA WEWE INAKUHUSU NINI?
ishi MAISHA.
hii habari haijaletwa ili tujadili HERENI.
JAMAA AMESHAJIONDOKEA YA NINI KUJADILI MAOVU YAKE?
SI UPIGE KIMYA TU.
KWANI UTAPUNGUKIWA NA NINI?
WEWE NDO UNAUMIA SANA JAMAA AKIFA HERENI.
HUMJUI HAKUJUI YA NINI KUHANGAIKA NAE?
Hakuna mmasai anayeitwa Ndossi
 
Ndo hao haooo kaka angu..

Huwa nacheka mnoooooo...pindi wanapoelezea historia zao haswaa namna walivyoweza kupata hela[emoji1] [emoji1] [emoji1] wakati kuna mmoja kashawahi kuliwa hadi mande(mtungo)[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ...
Ni wachafu Mara 100 Faiza Ally
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi nilikua mshamba mshamba tu mpk kesho Niko hvyo ila wengi waliojichetua na kutake risk za miili yao wametoboa kimaisha wengi mnoooo
Wengi sana wamepatia pesa zao pale. Wamelea vidada vingi vingine vinajitiaga kuwasema mscheeewww
 
Back
Top Bottom