Rest In Peace Kizzo Gunz

Usiwaseme kaka zangu. [emoji3]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapana nafurahia wamekula ujana haswaaa enzi Rodney (Mutie) Mengi anachuka Dada mmoja pale forodhani anampeleka South Ijumaa, kula raha,j2 anamrudisha
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapana nafurahia wamekula ujana haswaaa enzi Rodney (Mutie) Mengi anachuka Dada mmoja pale forodhani anampeleka South Ijumaa, kula raha,2 anamrudisha
Hahahahaa. Geni umepona kweli kwenye ile mikono wewe?
 
Hahahahaa. Geni umepona kweli kwenye ile mikono wewe?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mi nilikua mdananda Tu!!bonge la mselaaaa hakuna wa kuntongozaa mtoto wa uswazi Ujiji!Umbea wa mjini wa kishuleshule wooote tunaooo!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mi nilikua mdananda Tu!!bonge la mselaaaa hakuna wa kuntongozaa mtoto wa uswazi Ujiji!Umbea wa mjini wa kishuleshule wooote tunaooo!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana wale hawakwepeki kirahisi.
 
Hiyo list ndio hawa wakina mama tunawaona IG wengine wamekuwa walokole?
Ndo hao haooo kaka angu..

Huwa nacheka mnoooooo...pindi wanapoelezea historia zao haswaa namna walivyoweza kupata hela[emoji1] [emoji1] [emoji1] wakati kuna mmoja kashawahi kuliwa hadi mande(mtungo)[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ...
Ni wachafu Mara 100 Faiza Ally
 
Duh!!!!mjini kuna mengi?
 
Noma sana walimla kistaarabu hao
 
RIP Brother.. sijawahi kukuona hata mara moja ila nakumbuka miaka mitatu hivi nyuma baada ya kutoka chuo nilikuwa na hustle kutafuta kazi nikaingia linkedin nikawa natumia watu message za kutafuta kazi na wewe nakumbuka ulikuwa mmoja wao. Japo sikuwahi kujibiwa hata na mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…