Ndo hao haooo kaka angu..
Huwa nacheka mnoooooo...pindi wanapoelezea historia zao haswaa namna walivyoweza kupata hela[emoji1] [emoji1] [emoji1] wakati kuna mmoja kashawahi kuliwa hadi mande(mtungo)[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ...
Ni wachafu Mara 100 Faiza Ally
Hakuna mmasai anayeitwa Ndossiumejuaje kuwa jamaa SIO MMASAI.?
acha UPUMBAVU.
jadili vitu vya maana.
HATA KAMA NI SHOGA WEWE INAKUHUSU NINI?
ishi MAISHA.
hii habari haijaletwa ili tujadili HERENI.
JAMAA AMESHAJIONDOKEA YA NINI KUJADILI MAOVU YAKE?
SI UPIGE KIMYA TU.
KWANI UTAPUNGUKIWA NA NINI?
WEWE NDO UNAUMIA SANA JAMAA AKIFA HERENI.
HUMJUI HAKUJUI YA NINI KUHANGAIKA NAE?
Sana Tu!yaani unaweza jiona wewe ni malaikaHahaha maninar watu wamepigana vita mnoooo. ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo hao haooo kaka angu..
Huwa nacheka mnoooooo...pindi wanapoelezea historia zao haswaa namna walivyoweza kupata hela[emoji1] [emoji1] [emoji1] wakati kuna mmoja kashawahi kuliwa hadi mande(mtungo)[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ...
Ni wachafu Mara 100 Faiza Ally
Huyu nae@hazard cfc mzee baba swali lako lishajibiwa huku
Wengi sana wamepatia pesa zao pale. Wamelea vidada vingi vingine vinajitiaga kuwasema mscheeewwwMi nilikua mshamba mshamba tu mpk kesho Niko hvyo ila wengi waliojichetua na kutake risk za miili yao wametoboa kimaisha wengi mnoooo
Mnasemaga basi!!!!Tatizo alikua rafiki yangu sanaaa. Nisingeweza kabisa
Hahaha, wadada wa mujini banaMi sidanganyagi hataa
Mkuu wadada wa mujini kusema ukweli mwiko ,atashindwa kufanya yaoMnasemaga basi!!!!
Janja janja hamtaki kulooseWamefanyaje?
Haya hongera ila ni mmoja ktk million .Mi sidanganyagi hataa
Kweli kabisa....mm nawashauri wawe wanafunguka tu.Mkuu wadada wa mujini kusema ukweli mwiko ,atashindwa kufanya yao
Hahaha, hawataki kupoteza MTU,so utaambiwa ni mshikaji kitambo,best sana ,yaani jibu utapewa tu,ni wewe kujiongezaKweli kabisa....mm nawashauri wawe wanafunguka tu.