Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A very sad day indeed; jamaa huyu tulianza naye mbali sana kwenye hii mitandao.. a great loss indeed. RIPKwa wale mnaomfahamu Franklin Ndossi (Kizzo Gunz) he's no more.
Rest In Peace Dear Friend. View attachment 733582
Hiiiiiiiiiiiiiii?humu watu ni kama nyegere,utu hamna!wamasai wote ni wanawake?
acheni kujadili maisha ya MTU.
SIO KILA MWANAUME ANAE VAA HERENI NI SHOGA.
unaweza ukawa shoga na usivae hereni.
Umeambiwa ni marehemu, Sa unamsema ili iweje? Kumbuka marehemu hana fursa ya kukujibu why umseme?Mwanaume wa dar kavaa heren huyo
ni vitu vya ajabu sana.Hiiiiiiiiiiiiiii?humu watu ni kama nyegere,utu hamna!
You are missing a point hapa! Nia ya huyo jamaa anataka kutufunza tuliobaki kuwa waangalifu na muonekano wako. Obvious ukivaa hereni tutakufikiria kuna wanaume wanakufaidi.ni vitu vya ajabu sana.
MTU keshajilalia zake .anapambana na hali yake huko.
mnaanza kujadili heleni zake.
simtetei lakini pia tusimuhukumu.
MAREHEMU HASEMWI VIBAYA.
Pole sanaRest in power schoolmate!
We hung out a lot back in the day.
Skipped a lot of classes together just to go eat at our favorite ‘chips’ joint...Kwa Shirima.
On Sunday we kicked it at Coco beach! Flossing the latest sneakers, pushing our parents’ whips while bumping the hottest hip hop joints while gangsta leanin’ at the same time....just to mack at the shorties.
Herbert is gone. Now you are gone. Sitting here wondering who’s next? Me? Dassu? Gwamaka? Harold? Kunda?
Oh well such is life, though. Rest well hommie.
Pole sana hila kaumwa sana.Nah rafiki/brother wangu
kwa hyo wamasai nao wana babuliwa?You are missing a point hapa! Nia ya huyo jamaa anataka kutufunza tuliobaki kuwa waangalifu na muonekano wako. Obvious ukivaa hereni tutakufikiria kuna wanaume wanakufaidi.
Sasa na mihereni yake...!Kwa wale mnaomfahamu Franklin Ndossi (Kizzo Gunz) he's no more.
Rest In Peace Dear Friend. View attachment 733582