Rest In Peace Kizzo Gunz

Rest In Peace Kizzo Gunz

Yaaan wamenikeraa saana alafu bad enough kizzo alikuwa na upendo na kilaaa mtu ata uonane naye siku mojaa utasema mlikuwa mnajuaana miaka ,sasa hawa simbilisi ndo wamekaaa kuwasema watu tena marehemu wakati hawamjui wamenikeraa saanaa
Tatizo hawamjui sasa wanashangaa wanaomjua wanamuongelea vizuri wanabaki na kumkosoa ili nao waonekane wamesema lolote.
 
Naona wagogo wote na wamasai ni mshoga. Tuwe tunajua kuwa kuna muda na staili. Enzi za pekosi zilikuja zikaisha, za kubana miguu zimerudi je mbona hamsemi? Hereni kwa wanaume wa tamaduni nyingi ni kawaida. Fuatilia uone watu wazawa wa nchi kama Marekani, Austaria, Afrika mfano wamasai, wagogo na wengine wengi tu wanavaa hereni hivyo usiache mada na kuanza vitu vyako.
RIP kijana.
 
Kwa taarifa yako marehemu alikua rijali mara elfu kuliko wewe mropokaji na hakika ungekaa kwenye angaa zake angekutafuna na wewe tu.

Immature, disrespectful imbecile
kama ulikaa kwenye anga zake akakutafuna ndio ukajua ni rijali...ni nyie na ushoga wenu...usifikiri kila mtu ni msenge kama nyie
 
Kiheshimaa maiti aiwezii kujiteteea

Aijalishi unamaoni gani juuya marehemu jitahidi kumsitiri NA kumheshimu Mungu akakuheshimu sikuzako za mwisho

Nawakilisha tu
Fact
 
Back
Top Bottom