rest in peace my daddy

rest in peace my daddy

wakuu!baba yangu mpendwa Mzee Chizenga amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu!1933-2012!upumzike kwa amani baba yangu!

MUNGU WA MBINGUNI awafariji na kuwafuta machozi, ROHO MTAKATIFU azibe pengo lolote lilioachwa na mpendwa wetu.
 
REST IN PEACE FATHER,,,tuambia uko viunga gani vya Tanzania unaweza ukapata member hata wawili wa kukusupport....sie wote ni wa kwake na kwake tutarudi...
 
Pole Mc Tilly, Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.

RIP Mzee Chizenga.
 
Poleni sana familia nzima kwa ujumla na mwenyezi mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi
Amen
 
Niungane na wenzangu niseme POLE ndg yangu! Kila nafsi itaonja kikombe hicho.
 
Pole sana mkuu, kama ulivyosema ameugua kwa kipindi kirefu basi tuchukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumpumzisha na kumuomba ampe raha ya milele.....Amina.
 
"Bwana Alitoa, na Bwana ametwaa,
Jina la Bwanana Libarikiwe!"
Pumzika Kwa Amani Mzee CHIZENGA,Amina
 
Let the nature take its part.R.I.P baba chizenga.
 
Pole sana...may his soul rest in peace
 
Pole sana mkuu,
Mungu akupe faraja kipindi hiki kigumu,
RIP FATHER!
 
Pole uncle ndio ukubwa, mungu amlaze mahala pema
 
Back
Top Bottom