REST IN PEACE FATHER,,,tuambia uko viunga gani vya Tanzania unaweza ukapata member hata wawili wa kukusupport....sie wote ni wa kwake na kwake tutarudi...
Pole sana mkuu, kama ulivyosema ameugua kwa kipindi kirefu basi tuchukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumpumzisha na kumuomba ampe raha ya milele.....Amina.