MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
wakuu!baba yangu mpendwa Mzee Chizenga amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu!1933-2012!upumzike kwa amani baba yangu!
nawashukuru wote kwa mara nyingine!mwili wa marehemu baba yangu Dk S.H.D Chizenga unasafirishwa usiku huu toka dar kwenda kijijini Kwabaya,Chanika wilayani Handeni mkoa wa Tanga kwa ajili ya mapumziko yake ya milele kesho saa 7 mchana
pole sana mkuuwakuu!baba yangu mpendwa Mzee Chizenga amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu!1933-2012!upumzike kwa amani baba yangu!
wakuu!baba yangu mpendwa Mzee Chizenga amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu!1933-2012!upumzike kwa amani baba yangu!
With my deepest sympathy