Rest In Peace/Requiescat in pace/R.I.P Maana yake ni nini? Je Kuna ulazima wowote kutumia neno hili?

Rest In Peace/Requiescat in pace/R.I.P Maana yake ni nini? Je Kuna ulazima wowote kutumia neno hili?

Mkuu, tafsiri ya hilo neno kwa kiswahili ni ipi?

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un - Arabic transliteration

إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون - Arabic Language

"Surely we belong to Allah and to Him we shall return" - English

"hakika sisi sote ni wa Allah ( i.e mmiliki wetu ni Mwenyezi Mungu) na kwake tutarejea"- Swahili

Hayo ndo maneno tulofundishwa na Mtume Muhammad kuyasema na si vinginevyo.
 
Ni mhanga wa kutumia hili neno lakini utakapo niuliza how Deep nalichukulia nitakugeuka kuwa halina maana kwa mrehemu.

Naamini kabsa kuna maisha baada ya kifo lakini Neno R I P haliwezi kuwa na faifa kwa marehemu ikiwa hatukuyapumzisha kwa amana kabla ya kulala mauti.

Ni nafasi yetu kuhoji na kuchunguza kwa ukaribu Nini kilichopo nyima ya pazia kwa hili Neno isiwe tunatumikishwa ki Fikra na kimtazamo na watu flani. Asnte msenza mkulu
 
Back
Top Bottom