Ni mhanga wa kutumia hili neno lakini utakapo niuliza how Deep nalichukulia nitakugeuka kuwa halina maana kwa mrehemu.
Naamini kabsa kuna maisha baada ya kifo lakini Neno R I P haliwezi kuwa na faifa kwa marehemu ikiwa hatukuyapumzisha kwa amana kabla ya kulala mauti.
Ni nafasi yetu kuhoji na kuchunguza kwa ukaribu Nini kilichopo nyima ya pazia kwa hili Neno isiwe tunatumikishwa ki Fikra na kimtazamo na watu flani. Asnte msenza mkulu